Collections
Related documents
Tanzania
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya Mwaka
Sura ya 2
- Ilianza tarehe 26 Aprili 1977
- [Hili ni toleo la hati hii kama ilivyokuwa 31 Julai 2002 hadi 21 Aprili 2005.]
- [Taarifa: Sheria hii imekaguliwa na kufanyiwa marekebisho kamili chini ya usimamizi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, kwa kuzingatia Sheria ya Ufanyaji Tathmini Na. 7 ya 1994, Sheria Zilizorekebishwa na Ukaguzi wa Kila Mwaka (Sura 356 (R.L.)), na Sheria ya Ufafanuzi wa Sheria na Vipengele vya Kawaida Na. 30 ya 1972. Toleo hili lina taarifa za hivi karibuni hadi tarehe 31 Julai 2002.]
Sura ya Kwanza
Jamhuri ya Muungano, vyama vya siasa, watu na siasa ya ujamaa na kujitegemea (Ib. 1—32)
Sehemu ya Kwanza – Jamhuri ya Muungano na Watu (Ib. 1—5)
1. Kutangaza Jamhuri ya Muungano
Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri ya Muungano.2. Eneo la Jamhuri ya Muungano
3. Tangazo la nchi yenye mfumo wa Vyama Vingi
4. Utekelezaji wa shughuli za Mamlaka ya Nchi
5. Haki ya kupiga kura
Sehemu ya Pili – Malengo muhimu na misingi ya mwelekeo wa shughuli za Serikali (Ib 6—11)
6. Tafsiri
Katika Sehemu hii ya Sura hii, isipokuwa kama maelezo yahitaji vinginevyo, neno "Serikali" maana yake ni pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, serikali za mitaa na pia mtu anayetekeleza madaraka au mamlaka yoyote kwa niaba ya Serikali yoyote.7. Matumizi ya masharti ya Sehemu ya Pili
8. Serikali na watu
9. Ujenzi wa Ujamaa na Kujitegemea
Lengo la Katiba hii ni kuwezesha ujenzi wa Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar au wa chochote kati ya vyombo vyake na udugu na amani kutokana na kufuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea, ambayo inasisitiza utekelezaji wa misingi ya kijamaa kwa kuzingatia mazingira yaliyomo katika Jamhuri ya Muungano. Kwa hiyo Mamlaka ya Nchi na vyombo vyake vyote vinawajibika kuelekeza sera na shughuli zake zote katika lengo la kuhakikisha–10. ***
[Imefutwa na Sheria Na. 4 ya 1992 ib. 10]11. Haki ya kufanya kazi, kupata elimu na nyinginezo
Sehemu ya Tatu – Haki na wajibu muhimu (Ib 12—32)
Haki ya Usawa (Ib 12—13)
12. Usawa wa binadamu
13. Usawa mbele ya sheria
Haki ya Kuishi (Ib 14—17)
14. Haki ya kuwa hai
Kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii hifadhi ya maisha yake, kwa mujibu wa sheria.15. Haki ya Uhuru wa mtu binafsi
16. Haki ya faragha na ya usalama wa mtu
17. Uhuru wa mtu kwenda atakako
Haki ya Uhuru wa Mawazo (Ib 18—21)
18. Uhuru wa Maoni
19. Uhuru wa mtu kuamini dini atakayo
20. Uhuru wa mtu kushirikiana na wengine
21. Uhuru wa kushiriki shughuli za umma
Haki ya Kufanya Kazi (Ib. 22—24)
22. Haki ya kufanya kazi
23. Haki ya kupata ujira wa haki
24. Haki ya kumiliki mali
Wajibu wa Jamii (Ib 25—28)
25. Wajibu wa kushiriki kazini
26. Wajibu wa kutii sheria za nchi
27. Kulinda mali ya Umma
28. Ulinzi wa taifa
Masharti ya Jumla (Ib 29—30)
29. Haki na wajibu muhimu
30. Mipaka ya haki na Uhuru na hifadhi kwa haki na wajibu
Madaraka ya pekee ya Mamlaka ya Nchi (Ib. 31—32)
31. Ukiukaji wa haki na uhuru
32. Madaraka ya kutangaza hali ya hatari
Sura ya Pili
Serikali ya Jamhuri ya Muungano (Ib. 33—61)
Sehemu ya Kwanza – Rais (Ib. 33—46B)
33. Rais wa Jamhuri ya Muungano
34. Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Mamlaka yake
35. Utekelezaji wa shughuli za Serikali
36. Mamlaka ya kuanzisha na kuwateua watu wa kushika nafasi za madaraka
37. Utekelezaji wa kazi na shughuli za Rais, n.k.3
38. Uchaguzi wa Rais
39. Sifa za mtu kuchaguliwa kuwa Rais
40. Haki ya kuchaguliwa tena
41. Utaratibu wa uchaguzi wa Rais
42. Wakati na muda wa kushika madaraka ya Rais
43. Masharti ya kazi ya Rais
44. Madaraka ya kutangaza vita
45. Uwezo wa kutoa msamaha
46. Kinga dhidi ya mashtaka na madai
46A. Bunge laweza kumshtaki Rais
46B. Wajibu wa viongozi Wakuu wa vyombo vya Mamlaka ya Utendaji kudumisha Muungano
Sehemu ya Pili – Makamu wa Rais (Ib 47—50)
47. Makamu mmoja wa Rais, kazi na mamlaka yake
48. Wakati wa Makamu wa Rais kushika madaraka
49. Kiapo cha Makamu wa Rais
Makamu wa Rais, kabla ya kushika madaraka yake ataapishwa mbele ya Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, kiapo cha uaminifu na pia kiapo kingine chochote kinachohusika na utendaji wa kazi yake kitakachowekwa kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na Bunge.50. Muda wa Makamu wa Rais kushika Madaraka
Sehemu ya Tatu – Waziri Mkuu, Baraza la Mawaziri na Serikali (Ib 51—61)
Waziri Mkuu (Ib 51—53A)
51. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
52. Kazi na mamlaka ya Waziri Mkuu
53. Uwajibikaji wa Serikali
53A. Kura ya kutokuwa na imani
Baraza la Mawaziri na Serikali (Ib 54—61)
54. Baraza la Mawaziri
55. Uteuzi wa Mawaziri
56. Kiapo cha Mawaziri na Naibu Mawaziri
Waziri au Naibu Waziri hatashika madaraka yake ila mpaka awe ameapa kwanza mbele ya Rais kiapo cha uaminifu na pia kiapo kingine chochote kinachohusika na utendaji wa kazi yake kitakachowekwa kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na Bunge.57. Wakati wa muda wa Mawaziri kushika madaraka
58. Masharti ya kazi ya Mawaziri
Mawaziri na Naibu Mawaziri watashika madaraka yao kwa ridhaa ya Rais, na watalipwa mshahara, posho na malipo mengineyo kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na Bunge.59. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano
60. Katibu wa Baraza la Mawaziri
Kutakuwa na Katibu wa Baraza la Mawaziri ambaye atakuwa ndiye mtendaji mkuu katika Ofisi ya Baraza la Mawaziri, na atatekeleza shughuli zifuatazo kwa kufuata maagizo ya jumla au maalum atakayopewa na Rais, yaani–61. Wakuu wa Mikoa
Sura ya Tatu
Bunge la Jamhuri ya Muungano (Ib. 62—101)
Sehemu ya Kwanza – Bunge (Ib. 62—65)
62. Bunge
63. Madaraka ya Bunge
64. Madaraka ya kutunga Sheria
65. Muda wa Bunge
Sehemu ya Pili – Wabunge, wilaya za uchaguzi na uchaguzi wa wabunge (Ib 66—83)
Wajumbe wa Bunge (Ib 66—73)
66. Wabunge
67. Sifa za mtu kuwa Mbunge
68. Kiapo cha Wabunge
Kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini Mbunge aweza kushiriki katika uchaguzi wa Spika hata kabla hajaapishwa.69. Tamko rasmi la Wabunge kuhusu maadili ya Viongozi
70. Wabunge kutoa taarifa ya mali
71. Muda wa Wabunge kushika madaraka kama Wabunge
72. Watu wenye madaraka Serikalini kukoma utumishi wanapochaguliwa
Iwapo mtu yeyote mwenye madaraka katika utumishi wa Umma, madaraka ya aina iliyotajwa katika ibara ya 67(2)(g) ataamua–73. Masharti ya kazi ya Wabunge
Wabunge wote wa aina zote watashika madaraka yao kwa mujibu wa Katiba hii, na watalipwa mshahara, posho na malipo mengine kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na Bunge.Tume ya Uchaguzi (Ib. 74)
74. Tume ya Uchaguzi
Majimbo ya Uchaguzi (Ib 75)
75. Majimbo ya uchaguzi
Uchaguzi na uteuzi wa Wabunge (Ib 76—83)
76. Uchaguzi katika Majimbo ya Uchaguzi
77. Utaratibu wa Uchaguzi wa Wabunge wa Majimbo ya Uchaguzi
78. Utaratibu wa Uchaguzi wa Wabunge Wanawake wa kuchaguliwa na Bunge
79. Utaratibu wa Uchaguzi wa Wabunge wa kuchaguliwa na Baraza la Wawakilishi
Baraza la Wawakilishi litaweka utaratibu litakaoufuata kwa ajili ya kufanya uchaguzi wa Wabunge waliotajwa katika ibara ya 66(1)(c) ya Katiba hii.80. ***
[Imefutwa na Sheria Na. 4 ya 1992 ib. 27.]81. Utaratibu wa kupendekeza majina ya Wagombea uchaguzi wa Wabunge Wanawake
Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, Tume ya Uchaguzi yaweza kuweka masharti yanayofafanua utaratibu utakaotumiwa na vyama vya siasa kwa ajili ya kuchagua na kupendekeza majina ya Wabunge wa aina iliyotajwa katika ibara ya 66(1)(b).82. ***
[Imefutwa na Sheria Na. 4 ya 1992 ibara ya 29]83. Uamuzi wa suala kama mtu ni Mbunge au sivyo
Sehemu ya Tatu – Utaratibu, madaraka na haki za bunge (Ib 84—101)
Spika na Naibu wa Spika (Ib 84—86)
84. Spika na mamlaka yake
85. Naibu wa Spika
86. Utaratibu wa kumchagua Spika na Naibu wa Spika
Ofisi ya Bunge (Ib 87—88)
87. Katibu wa Bunge
88. Sekretarieti ya Bunge
Utaratibu wa shughuli Bungeni (Ib. 89—96)
89. Kanuni za Kudumu za Bunge
90. Kuitishwa kwa Mikutano ya Bunge na kuvunjwa kwa Bunge
91. Rais aweza kulihutubia Bunge
92. Mikutano ya Bunge
93. Uongozi wa vikao vya Bunge
Kila kikao cha Bunge kitaongozwa na mmojawapo wa watu wafuatao, yaani–94. Kiwango cha vikao vya Bunge
95. Viti vilivyo wazi katika Bunge
Bunge laweza kutekeleza shughuli wakati wa vikao vyake bila ya kujali kwamba kuna kiti kilicho wazi miongoni mwa viti vya Wabunge (iwe kiti hicho kimekuwa wazi tangu Bunge lilipokutana kwa mara ya kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu au kimekuwa wazi baada ya Mkutano huo wa kwanza) na iwapo katika shughuli hizo atashiriki mtu yeyote ambaye hana haki ya kushiriki au kama wakati wa shughuli hizo atakuwapo mtu yeyote ambaye hana haki ya kuwapo, basi kushiriki kwa mtu huyo au kuwapo kwake hakutabatilisha shughuli hizo.96. Kamati za Kuduma za Bunge
Utaratibu wa kutunga sheria (Ib. 97—99)
97. Namna ya kutumia madaraka ya kutunga sheria
98. Utaratibu wa kubadilisha Katiba hii na baadhi ya Sheria
99. Utaratibu wa kutunga Sheria kuhusu mambo ya fedha
Madaraka na Haki za Bunge (Ib. 100—101)
100. Uhuru wa majadiliano na utaratibu wa shughuli
101. Kuhifadhi na kutilia nguvu uhuru wa majadiliano na wa shughuli
Bunge laweza kutunga sheria kwa ajili ya kuweka masharti ya kuwezesha mahakama na sheria kuhifadhi na kutilia nguvu uhuru wa mawazo, majadiliano na utaratibu wa shughuli katika Bunge ambao kwa mujibu wa ibara ya 100 umedhaminiwa na Katiba hii.Sura ya Nne
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Baraza la Mapinduzi la Zanzibar na Baraza la Wawakilishi la Zanzibar (Ib. 102—107)
Sehemu ya Kwanza – Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Rais wa Zanzibar (Ib. 102—104)
102. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mamlaka yake
103. Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na madaraka yake
104. Uchaguzi wa Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Sehemu ya Pili – Baraza la Mapinduzi la Zanzibar (Ib. 105)
105. Baraza la Mapinduzi la Zanzibar na kazi zake
Sehemu ya Tatu – Baraza la Wawakilishi la Zanzibar (Ib. 106—107)
106. Baraza la Wawakilishi la Zanzibar na madaraka ya kutunga Sheria za Zanzibar
107. Madaraka ya Baraza la Wawakilishi
Sura ya Tano
Utoaji Haki katika Jamhuri ya Muungano, Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano, Tume ya Kuajiri ya Mahakama ya Tanzania Bara, Mahakama Kuu ya Zanzibar, Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano na Mahakama Maalum ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano (Ib. 107A—128)
Sehemu ya Kwanza – Utoaji ahki katika Jamhuri ya Muungano (Ib. 107A—107B)
107A. Mamlaka ya utoaji haki
107B. Uhuru wa Mahakama
Katika kutekeleza mamlaka ya utoaji haki, Mahakama zote zitakuwa huru na zitalazimika kuzingatia tu masharti ya Katiba na yale ya sheria za nchi.Sehemu ya Pili – Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano (Ib. 108-111)
108. Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano na Mamlaka yake
109. Majaji wa Mahakama Kuu na uteuzi wao
110. Muda wa Majaji wa Mahakama Kuu kushika madaraka
111. Kiapo cha Majaji
Jaji wa Mahakama Kuu hatashika madaraka yake ila mpaka awe ameapishwa kwanza kiapo cha uaminifu na pia kiapo kingine chochote kinachohusika na utendaji wa kazi kitakachowekwa kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na Bunge.Sehemu ya Tatu – Madaraka ya Kuajiri Mahakimu na watumishi wengine wa Mahakama za Tanzania Bara na Tume ya Kuajiri ya Mahakama (Ib. 112—113A)
112. Tume ya Kuajiri ya Mahakama
113. Madaraka ya kuajiri Mahakimu na watumishi wengine wa Mahakama
113A. Uanachama katika vyama vya siasa
Itakuwa ni marufuku kwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, Jaji wa Mahakama Kuu, Hakimu wa ngazi yoyote kujiunga na chama chochote cha siasa, isipokuwa tu kwamba atakuwa na haki ya kupiga kura iliyotajwa katika ibara ya 5 ya Katiba hii.Sehemu ya Nne – Mahakama Kuu ya Zanzibar (Ib. 114—115)
114. Mahakama Kuu ya Zanzibar
Kwa madhumuni ya ufafanuzi wa Sura hii ya Katiba hii, ifahamike kwamba masharti yaliyomo katika Sura hii hayazuii kuendelea kuwapo au kuanzishwa, kwa mujibu wa Sheria zinazotumika Zanzibar, kwa Mahakama Kuu ya Zanzibar au mahakama zilizo chini ya Mahakama Kuu ya Zanzibar.115. Mamlaka ya Mahakama Kuu ya Zanzibar
Sehemu ya Tano – Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano (Ib. 116—123)
116. Ufafanuzi
117. Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano na Mamlaka yake
118. Majaji wa Mahakama ya Rufani na uteuzi wao
119. Mamlaka ya Majaji wa Mahakama ya Rufani
Jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani hatakuwa na mamlaka ya kusikiliza shauri lolote katika Mahakama Kuu au katika Mahakama ya Hakimu ya ngazi yoyote:Isipokuwa kwamba iwapo Jaji yeyote wa Mahakama Kuu atateuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, basi hata baada ya kuteuliwa kwake kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, Jaji huyo aweza kuendelea kufanya kazi zake katika Mahakama Kuu mpaka amalize kutayarisha na kutoa hukumu au mpaka akamilishe shughuli nyingine yoyote inayohusika na mashauri ambayo alikwisha anza kuyasikiliza kabla hajateuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, na kwa ajili hiyo itakuwa halali kwake kutoa hukumu au uamuzi mwingine wowote unaohusika kwa kutumia na kutaja madaraka aliyoshika kabla ya kuteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, lakini endapo hatimaye hukumu hiyo au uamuzi huo mwingine utapingwa kwa njia ya rufaa itakayofikishwa mbele ya Mahakama ya Rufani, basi katika hali hiyo Jaji huyo wa Mahakama ya Rufani, hatakuwa na mamlaka ya kusikiliza rufaa hiyo.120. Muda wa Majaji wa Mahakama ya Rufani kushika madaraka
121. Kiapo cha Majaji wa Mahakama ya Rufani
Jaji wa Mahakama ya Rufani hatashika madaraka yake ila mpaka awe ameapishwa kiapo cha uaminifu na kiapo kingine chochote kinachohusika na utendaji wa kazi kitakachowekwa kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na Bunge.122. Kiwango cha vikao vya Mahakama ya Rufani
123. Mashauri yanayoweza kuamuliwa na Jaji mmoja wa Mahakama ya Rufani
Jaji mmoja wa Mahakama ya Rufani aweza kutekeleza madaraka yoyote ya Mahakama ya Rufani ambayo hayahusiki na kutoa uamuzi juu ya rufaa:Isipokuwa kwamba–Sehemu ya Sita – Utaratibu wa kupeleka hati za kutekeleza maagizo yaliyomo katika hati zilizotolewa na Mahakama (Ib. 124)
124. Utekelezaji wa maagizo ya Mahakama utafanywa nchini Tanzania kote
Sehemu ya Saba – Mahakama Maalum ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano (Ib. 125—128)
125. Mahakama Maalum ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano
Kutakuwa na Mahakama Maalum ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ambayo mamlaka yake, muundo wake na utaratibu wa shughuli zake ni kama ilivyoelezwa katika ibara ya 126, 127 na 128 ya Katiba hii.126. Mamlaka ya Mahakama Maalum ya Katiba
127. Muundo wa Mahakama Maalum ya Katiba
128. Utaratibu katika vikao vya Mahakama Maalum ya Katiba
Sura ya Sita
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma (Ib. 129—132)
Sehemu ya Kwanza – Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (Ib. 129—131)
129. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
130. Majukumu ya Tume na taratibu za utekelezaji
131. Mamlaka ya Tume na utaratibu wa shughuli zake
Sehemu ya Pili – Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma (Ib. 132)
132. Sekretarieti ya Maadili
Sura ya Saba
Masharti kuhusu Mchango wa Serikali na mambo mengineyo ya fedha zinazoingia katika Hazina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano (Ib. 133—144)
Sehemu ya Kwanza – Mchango na Mgawanyo wa Mapato ya Jamhuri ya Muungano (Ib. 133—134)
133. Akaunti ya Fedha ya Pamoja
Serikali ya Jamhuri ya Muungano itatunza akaunti maalum itakayoitwa "Akaunti ya Fedha ya Pamoja", na ambayo itakuwa ni sehemu ya Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano, ambamo kutawekwa fedha yote itakayochangwa na Serikali mbili kwa kiasi kitakachoamuliwa na Tume ya Pamoja ya Fedha kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na Bunge, kwa madhumuni ya shughuli za Jamhuri ya Muungano kwa Mambo ya Muungano.134. Tume ya Fedha ya Pamoja
Sehemu ya Pili – Mfuko Mkuu wa Hazina na Fedha za Jamhuri ya Muungano (Ib. 135—144)
135. Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano
136. Masharti ya kutoa fedha za matumizi kutoka Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali
137. Utaratibu wa kuidhinisha matumizi ya fedha zilizomo katika Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali
138. Masharti ya kutoza kodi
139. Utaratibu wa kuidhinisha matumizi ya fedha kabla ya Sheria za Matumizi kuanza kutumika
140. Mfuko wa Matumizi ya dharura
141. Deni la Taifa
142. Mishahara ya watumishi fulani wa Umma kudhaminiwa na Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali
143. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Jamhuri ya Muungano
144. Kumwondoa kazini Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
Sura ya Nane
Madaraka ya Umma (Ib. 145—146)
145. Serikali za Mitaa
146. Kazi za Serikali za Mitaa
Sura ya Tisa
Majeshi ya ulinzi (Ib. 147—148)
147. Marufuku kuunda majeshi ya ulinzi yasiyo majeshi ya Ulinzi ya Umma
148. Madaraka ya Amiri Jeshi Mkuu
Sura ya Kumi
Mengineyo (Ib. 149—152)
149. Maelezo ya mambo yanayohusika na madaraka ya kazi mbalimbali zilizoanzishwa na Katiba hii
150. Maelezo kuhusu utaratibu wa kukabidhi madaraka ya kazi katika Utumishi wa Umma
151. Ufafanuzi
152. Jina Kamili la Katiba, tarehe ya kuanza kutumika na matumizi ya Katiba hii
History of this document
22 April 2005 amendment not yet applied
31 July 2002 this version
Consolidation
26 April 1977
Commenced
Cited documents 0
Documents citing this one 4550
Judgment 4328
Gazette 132
Act 28
1. | Local Government (District Authorities) Act, 1982 | 59 citations |
2. | Local Government (Urban Authorities) Act, 1982 | 54 citations |
3. | Public Finance Act | 41 citations |
4. | National Defence Act | 39 citations |
5. | Bank of Tanzania Act | 35 citations |
6. | Export Processing Zones Act | 29 citations |
7. | Public Service Social Security Fund Act, 2018 | 26 citations |
8. | Judicial Service Act | 24 citations |
9. | Police Force and Prisons Service Commission Act | 20 citations |
10. | Public Service Retirement Benefits Act | 17 citations |
Law Reform Report 23
JOT Documents and Guidelines 12
Journal 12
Government Notice 5
Finding aid 2
1. | The Subsidiary Legislation of Tanzania Index - Vol. 1: 2008 - 2021 | |
2. | The Subsidiary Legislation of Tanzania Index - Vol. 2: 1998 - 2007 |
Guidelines 2
1. | Asset Forfeiture, Recovery and Management Guidelines | |
2. | Guidelines to Prosecutors and Competent Authorities for Making and Executing Mutual Legal Assistance and Extradition Request |
Speech 2
Case summary 1
1. | Case Summary: Joseph Osmund Mbilinyi & Another vs The Commissioner General Tanzania Prison Service & Another (Misc. Civil Cause No. 13 of 2021) [2022] TZHC 15340 (19 December 2022) |
Manual 1
1. | Criminal Prosecutions Case Manual |
Ordinance 1
1. | Law Reform (Fatal Accidents and Miscellaneous Provisions) Act |
booklet 1
1. | Guiding Notes on Arbitration Law and Practice - Part Two: Pleadings and Written Submissions |
Subsidiary legislation
Title
|
|
---|---|
Public Service Remuneration Board (Amendment) Regulations, 2019 | Government Notice 695 of 2019 |
National Prosecutions Services (Establishment) Order, 2018 | Government Notice 49 of 2018 |
Appointment of Ministers Notice, 2003 | Government Notice 37 of 2003 |
Remission of Remainder of Sentence of Imprisonment | Government Notice 26 of 2003 |
Appointment of Principal Commssioner of Prisons and High Court Judges Notice, 2002 | Government Notice 339 of 2002 |
Constitution (Grant of Remission) Order, 2001 | Government Notice 38 of 2002 |