Notisi ya Uteuzi wa Waendesha Mashtaka ya Mwaka 2023

Government Notice 152 of 2023

Notisi ya Uteuzi wa Waendesha Mashtaka ya Mwaka 2023

Tanzania
National Prosecutions Service Act, 2008

Notisi ya Uteuzi wa Waendesha Mashtaka ya Mwaka 2023

Tangazo la Serikali 152 ya 2023

[Imetengenezwa chini ya kifungu cha 22]

1. Jina

Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Uteuzi wa Waendesha Mashtaka ya Mwaka 2023.

2. Uteuzi wa waendesha mashtaka

(1)Watu ambao majina yao yameorodheshwa katika Jedwali wanateuliwa kuwa waendesha mashtaka kwa madhumuni ya kuendesha kesi za jinai kwa niaba ya Mkurugenzi wa Mashtaka.

3. Uhalali wa uteuzi

(1)Uteuzi wa waendesha mashtaka katika Notisi hii utakuwa halali kwa miaka mitano kuanzia tarehe ya kuanza kutumika kwa Notisi hii.
(2)Bila kujali aya ndogo ya (2), mwendesha mashtaka aliyeteuliwa chini ya Notisi hii anaweza kuendesha mashtaka kwa kipindi kinachopungua miaka mitano pale ambapo ajira ya mtu huyo katika utumishi wa umma itakoma au uteuzi wake utasitishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka.

Jedwali (Limetengenezwa chini ya aya ya 2)

Uteuzi wa waendesha mashtaka

Na.Jina
1.PF. 19494 Inspector John S. Ijumba
2.PF. 22258 A/Inspector Asifiwe Mchana
3.PF. 21375 A/Inspector Elizabeth Lucas
4.G 1748 D/Cpl Frank Maugo
5.WP 12520 PC Leila Kulanderah
6.PF 19643 Inspector Trudo Bandiho
7.H. 957 D/Cpl Mashishanga Fumbuka
8.G. 1573 D/Cpl Juma Abdul Athuman
9.G. 3702 D/Cpl Isaya Ubamba
10.Ndona Taziri Lweno
11.PF. 19970 Insp. Jasmine Jumanne Itiga
12.F. 2196 D/Ssgt. Anold Emmanuel Kiwoli
13.P. 3619 D/Ssgt, Abdallah Juma Jumla
14.Pf. 23113 A/Insp. Ibrahimu Esawangu Kyara
15.Richard Casmir Ndobho
16.Debora Elisha Mlowe
17.A/Insp. Rose Clemence
18.A/Insp. Emmanuel Peol Limonga
19.A/Insp. Lunadus Leus Kaukuye
20.Insp. Adamu Mabula Nyangaka
▲ To the top

History of this document

03 March 2023 this version
22 February 2023
Assented to