Tanzania
National Prosecutions Service Act, 2008
Notisi ya Uteuzi wa Waendesha Mashtaka ya Mwaka 2023
Tangazo la Serikali 156 ya 2023
- Imechapishwa katika Gazette of the United Republic of Tanzania 8 hadi 3 Machi 2023
- Imeidhinishwa tarehe 22 Februari 2023
- Ilianza tarehe 3 Machi 2023
- [Hili ni toleo la hati hii kutoka 3 Machi 2023.]
1. Jina
Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Uteuzi wa Waendesha Mashtaka ya Mwaka 2023.2. Uteuzi wa waendesha mashtaka
Watu ambao majina yao yameorodheshwa katika Jedwali wanateuliwa kuwa waendesha mashtaka kwa madhumuni ya kuendesha kesi za jinai kwa niaba ya Mkurugenzi wa Mashtaka.3. Uhalali wa uteuzi
History of this document
03 March 2023 this version
22 February 2023
Assented to