Tanzania
Town and Country Planning Act
Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Chogo, Lutalawe na Igawa ya Mwaka 2023
Government Notice 222 of 2023
- Published in Gazette of the United Republic of Tanzania 10 on 24 March 2023
- Assented to on 6 February 2023
- Commenced on 24 March 2023
- [This is the version of this document from 24 March 2023.]
1. Jina
Amri hii itaitwa Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Chogo, Lutalawe na Igawa ya Mwaka 2023.2. Utangazaji wa eneo la upangaji
Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii linatangazwa kuwa eneo la upangaji (mpango wa urasimishaji) kwa madhumuni ya Sheria ya Mipango Miji.[sura ya 355]3. Mpango katika eneo la kwenye Jedwali
Mipango ya jumla na kina katika eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi wa Mji wa Mafinga.History of this document
24 March 2023 this version
06 February 2023
Assented to