Tanzania
Town and Country Planning Act
Amri ya Kupanga Eneo La Uwemba ya Mwaka 2023
Tangazo la Serikali 241 ya 2023
- Imechapishwa katika Gazette of the United Republic of Tanzania 10 hadi 24 Machi 2023
- Imeidhinishwa tarehe 6 Februari 2023
- Ilianza tarehe 24 Machi 2023
- [Hili ni toleo la hati hii kutoka 24 Machi 2023.]
1. Jina
Amri hii itaitwa Amri ya Kupanga Eneo La Uwemba ya Mwaka 2023.2. Kutangaza Eneo la Upangaji
Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii linatangazwa kuwa eneo la upangaji kwa madhumuni ya Sheria ya Mipango Miji.[Sura ya 355]3. Mpango katia eneo la kwenye Jedwali
Mipango ya Jumla na ya Kina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali itaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Mkurugenzi Mtendaji wa Mji wa NjombeHistory of this document
24 March 2023 this version
06 February 2023
Assented to