Collections
Tanzania
Notisi ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi (Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji), ya mwaka 2023
Tangazo la Serikali 293 ya 2023
- Imechapishwa katika Gazette of the United Republic of Tanzania 11 hadi 7 Aprili 2023
- Imeidhinishwa tarehe 3 Aprili 2023
- Ilianza tarehe 7 Aprili 2023
- [Hili ni toleo la hati hii kutoka 7 Aprili 2023.]
1.
Notisi hii intaitwa Notisi ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi (Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji), ya mwaka 2023.2.
Maeneo yaliyoainishwa kwenye Jedwali yanatangazwa kuwa na Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji kwa mujibu wa Sheria ya Upangaji wa Matumizi ya Ardhi.[Sura ya 116]History of this document
07 April 2023 this version
03 April 2023
Assented to