Notisi ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji), ya mwaka 2023

Government Notice 294 of 2023

Notisi ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji), ya mwaka 2023

Tanzania

Notisi ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji), ya mwaka 2023

Tangazo la Serikali 294 ya 2023

[Imetolewa chini ya kifungu cha 36]

1.

Notisi hii itaitwa Notisi ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji), ya mwaka 2023.

2.

Maeneo yaliyoainishwa kwenye Jedwali yanatangazwa kuwa na Mipango ya Matumizi ya Ardhi ya Vijiji kwa mujibu wa Sheria ya Upangaji wa Matumizi ya Ardhi.[Sura ya 116]

Jedwali (Limetengenezwa chini ya aya ya 2)

MkoaHalmashauri ya WilayaKijiji
RukwaSumbawangaKalumbaleza A
Kalumbaleza B
Mnazi mmoja
NkasiNkomolo II
Swaila
Jumla5
▲ To the top

History of this document

07 April 2023 this version
03 April 2023
Assented to