Notisi ya uteuzi wa Wakaguzi wa Biashara ya Ngozi ya mwaka, 2023

Government Notice 297 of 2023

Notisi ya uteuzi wa Wakaguzi wa Biashara ya Ngozi ya mwaka, 2023

Tanzania

Notisi ya uteuzi wa Wakaguzi wa Biashara ya Ngozi ya mwaka, 2023

Tangazo la Serikali 297 ya 2023

  • Imechapishwa katika Gazette of the United Republic of Tanzania 11 hadi 7 Aprili 2023
  • Ilianza tarehe 7 Aprili 2023
  • [Hili ni toleo la hati hii kutoka 7 Aprili 2023.]
  • [Kumbuka: Hati asili ya uchapishaji haipatikani na maudhui haya hayakuweza kuthibitishwa.]
[Sura ya 120; Imetengenezwa chini ya kifungu cha 28]

1. Jina

Notisi hii itajulikana kama Notisi ya uteuzi wa Wakaguzi wa Biashara ya Ngozi ya mwaka, 2023.

2. Notisi ya uteuzi

Notisi inatolewa kuwa madaktari wa mifugo, maafisa mifugo au maafisa mifugo wasaidizi waliosajiliwa ambao wameainishwa katika Jedwali la Notisi hii wameteuliwa kuwa wakaguzi wa ngozi kwa madhumuni ya Sheria ya Biashara ya Ngozi.[Sura ya 120]

3. Muda wa uteuzi

Madaktari wa mifugo, maafisa mifugo au maafisa mifugo wasaidizi waliosajiliwa walioteuliwa chini ya Notisi hii watashika wadhifa huo kwa muda utakaoamuliwa na mamlaka ya uteuzi isipokuwa kama atakufa, atastaafu au atajiuzulu katika utumishi wa umma.

Jedwali (Limetengenezwa chini cha kifungu cha. 2)

Notisi ya wakaguzi wa ngozi na biashara ya ngozi

Na.MajinaWilaya/eneo la uendeshaji
1.Dr. Emmanuel LemaMkoa Kilimanjaro
2.Herman R. ShayoHalmashauri ya Wilaya ya Same
3.Juvenali G. UrioHalmashauri ya Manispaa ya Moshi
4.George S. MmbwamboHalmashauri ya Wilaya ya Moshi Vijijini
5.Prisila NdemasiHalmashauri ya Wilaya ya Rombo
6.Conjesta PastoryHalmashauri ya Wilaya ya Siha
7.Joel MunuoHalmashauri ya Wilaya ya Hai
8.Deogratia BuzukaHalmashauri ya Wilaya ya Mwanga
9.Omary A.R. KapenyuMkoa Songwe
10.George ChaleHalmashauri ya Wilaya ya Songwe
11.Damas KabefuHalmashauri ya Mji Tunduma
12.Ernest MligoHalmashauri ya Wilaya Mbozi
13.Amani HoyaHalmashauri ya Wilaya ya Momba
14.Donard SwaiHalmashauri ya Wilaya Ileje
15.Deogratius SibulaMkoa Ruvuma
16.Lucy H. MwaitukaHalmashauri ya Wilaya ya Madaba
17.Vitales F. Jang’anduHalmashauri ya Wilaya ya Songea
18.Saidi R. SangijaHalmashauri ya Manispaa ya Songea
19.Ramadhani M. MpangaosiHalmashauri ya Wilaya ya Nyasa
20.Condrad A. KawongaHalmashauri ya Mji Mbinga
21.Leila A. GillahHalmashauri ya Wilaya ya Mbinga
22.Musa B. BegheHalmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
23.Lidya C. KinasaHalmashauri ya Wilaya ya Tunduma
24.DR. Masalu M. MrojeMkoa Njombe
25.Godwin MwavikaHalmashauri ya Wilaya ya Njombe
26.Witma KambaHalmashauri ya Mji Njombe
27.Evodius Venant MwijageHalmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe
28.Beatus P. WellaHalmashauri ya Wilaya ya Ludewa
29.Samson Christian MgayaHalmashauri ya Mji Makambako
30.Christonsia KimaroHalmashauri ya Wilaya ya Makete
31.Mwita B. ChachaMkoa Iringa
32.Nathani MagogwaHalmashauri ya Manispaa ya Iringa
33.Vicent KalungwanaHalmashauri ya Wilaya ya Kilolo
34.Emanuel Vicent NgwalanjeHalmashauri ya Wilaya ya Mufindi
35.Edward MakyaoHalmashauri ya Wilaya ya Iringa
36.Kelvin MwasitaHalmashauri ya Mji Mafinga
37.Dende Charles LonhambiMkoa Rukwa
38.Marius Wenceslaus KapufiHalmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
39.Dkt. Silas P. MbizoHalmashauri ya Manispaa ya Sumbwanga
40.Daniel S. MwendaHalmashauri ya Wilaya ya Kalambo
41.Neema MboyaHalmashauri ya Wilaya ya Nkasi
42.Issa Omary HatibuMkoa Tanga
43.Hassan AyoubHalmashauri ya Jiji la Tanga
44.Noel HoseaHalmashauri ya Wilaya ya Mkinga
45.Oberlin Alfayo KileoHalmashauri ya Wilaya ya Muheza
46.Fadhili Bang’alaHalmashauri ya Mji Korogwe
47.Hangae Ibrahim MsebaHalmashauri ya Wilaya ya Korogwe
48.Omari Mohamed MahimboHalmashauri ya Wilaya ya Lushoto
49.Majaliwa Christpher HumbaHalmashauri ya Wilaya ya Bumbuli
50.Franael WarieL NkoHalmashauri ya Mji Handeni
51.Suzan Habakuk MziarayHalmashauri ya Wilaya ya Handeni
52.Dr. Godbless Ndetainywa SomiHalmashauri ya Wilaya ya Kilindi
53.Shadrack C. KalingaHalmashauri ya Wilaya ya Pangani
54.David MisongeMkoa Geita
55.Crepin TibagwaHalmashauri ya Wilaya ya Chato
56.January MaseleHalmashauri ya Wilaya ya Geita
57.John RichardHalmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
58.Joseph Damiani ShirimaHalmashauri ya Mji Geita
59.Fortunata JamesHalmashauri ya Wilaya ya Bukombe
60.Dickson MsumariHalmashauri ya Wilaya ya Nyanghwale
61.Zidihery MhandoMkoa Katavi
62.Albert Ladislaus SanguHalmashauri ya Wilaya ya Nsimbo
63.Juma GilolugwaHalmashauri ya Manispaa ya Mpanda
64.Gerald Dominick GondyeHalmashauri ya Wilaya ya Mlele
65.Saada Shem NyagawaHalmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe
66.Himid OmariHalmashauri ya Wilaya ya Mpanda
67.Dr. Robert William MachibyaMkoa Tabora
68.Bwire William NyangeroHalmashauri ya Manispaa ya Tabora
69.Joanes Ladislaus NkwabiHalmashauri ya Wilaya ya Uyui
70.Masoud Nassoro SelemaniHalmashauri ya Wilaya ya Urambo
71.Simeon Samuel TwiyogoheHalmashauri ya Wilaya ya Kaliua
72.Maulidi Mohamed RajabuHalmashauri ya Wilaya ya Sikonge
73.Sophia Gwakisa MwabusilaHalmashauri ya Mji Nzega
74.Thobias Michael LucasHalmashauri ya Wilaya ya Nzega
75.Mohamed Salum KiswambaHalmashauri ya Wilaya ya Igunga
76.Dr. Subira SimbeyeMkoa Mtwara
77.Dr. Elias P. MtojaHalmashauri ya Mji Nanyamba
78.Maria NgatataHalmashauri ya Wilaya ya Mtwara
79.Mashaka MfaumeHalmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu
80.Ryoba EmmanuelHalmashauri ya Wilaya ya Masasi
81.Julius SenziaHalmashauri ya Mji Masasi
82.Sijali MabenaHalmashauri ya Wilaya ya Newala
83.Samson KapangeHalmashauri ya Mji Newala
84.Tumaini MoshaHalmashauri ya Manispaa ya Mtwara
85.Robert MwanawimaHalmashauri ya Wilaya ya Tandahimba
86.Ludonya W. NdilamiyeMkoa Lindi
87.Gilya N. NyandaHalmashauri ya Manispaa Lindi
88.Neema S. ChijendiHalmashauri ya Wilaya ya Mtama
89.Sifael A. MwanyhesiHalmashauri ya Wilaya ya Kilwa
90.Dr. David E. KwaviHalmashauri ya Wilaya ya Liwale
91.Magreth A. MboneaHalmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
92.Leonard M. LuhumbikaHalmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
93.Litha MlingiMkoa Kigoma
94.Ibrahimu M. MgetaHalmashauri ya Manispaa ya Kigoma
95.Dr. Leonard JeremiahHalmashauri ya Wilaya ya Buhigwe
96.Baraka NyayaboshaHalmashauri ya Wilaya ya Kibondo
97.Seleman D. MunissHalmashauri ya Mji kasulu
98.Emmy ChiwangaHalmashauri ya Wilaya ya Kigoma Vijijini
99.Absalom D. KabeyaHalmashauri ya Wilaya ya Kasulu
100.Mwita M. GibakaHalmashauri ya Wilaya ya Kakonko
101.Ohadi L. MdunyaHalmashauri ya Wilaya ya Uvinza
▲ To the top

History of this document

07 April 2023 this version
Published in Gazette of the United Republic of Tanzania 11
Commenced