Tanzania
Town and Country Planning Act
Amri ya Kupanga Eneo la Katoma ya Mwaka 2023
Tangazo la Serikali 298 ya 2023
- Imechapishwa katika Gazette of the United Republic of Tanzania 11 hadi 7 Aprili 2023
- Imeidhinishwa tarehe 17 Machi 2023
- Ilianza tarehe 7 Aprili 2023
- [Hili ni toleo la hati hii kutoka 7 Aprili 2023.]
1. Jina
Amri hii itajulikana kama Amri ya Kupanga Eneo la Katoma ya Mwaka 2023.2. Utangazaji wa eneo la upangaji
Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii linatangazwa kuwa eneo la upangaji kwa madhumuni ya Sheria ya Mipangomiji.[Sura ya 355]3. Mpango wa jumla na kina wa eneo
Mipango ya Jumla na kina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali inaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Mji wa Geita.Jedwali (Limetengenezwa chini ya aya ya 2)
Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo—“Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A yenye majira - nukta 413994MS, 9682314KZ kwa umbali wakilometa 0.36 kuelekea Nyanza hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira - nukta 413731MS, 9682569 KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa 153o kwa umbali wa kilometa 0.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira - nukta 413443MS, 9682659KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi katika uelekeo wa 137o kwa umbali wa kilometa 0.15 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira - nukta 413310MS, 9682595KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 90o kwa umbali wa kilometa 0.67 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba E yenye majira nukta 413264MS, 9683268KZ; baada ya hapo mpaka unafuata hifadhi ya msitu wa Geita katika uelekeo wa 134o kwa umbali wa kilometa 0.74 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira - nukta 412542MS, 9683214KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi kwa umbali wa kilometa 0.56 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba G yenye majira - nukta 412180MS, 9682781KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 111o kwa umbali wa kilomita 0.45 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H yenye majiranukta 412399MS, 9682393KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 154o kwa kufuata mtaa wa Kompaund kwa umbali wa kilometa 0.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba I yenye majira - nukta 412411MS, 9682189KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 87o kwa umbali wa kilometa 0.26 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba J yenye majira - nukta 412656MS, 9682283KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 88o hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ‘K’ yenye majira - nukta 412839MS, 9681712KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 166o kwa umbali wa kilometa 0.53 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba L yenye majira - nukta 413342MS, 9681890KZ; baada ya hapo mpaka unafuata mpaka wa mtaa wa Lwenge kwa umbali wa kilometa 0.78 hadi ulipoanzia”History of this document
07 April 2023 this version
17 March 2023
Assented to