Amri ya Kupanga Eneo la Kasamwa na Kanyela ya Mwaka 2023

Government Notice 299 of 2023

Amri ya Kupanga Eneo la Kasamwa na Kanyela ya Mwaka 2023

Tanzania
Town and Country Planning Act

Amri ya Kupanga Eneo la Kasamwa na Kanyela ya Mwaka 2023

Tangazo la Serikali 299 ya 2023

[Imetengenezwa chini ya kifungu cha 8(1)]

1. Jina

Amri hii itajulikana kama Amri ya Kupanga Eneo la Kasamwa na Kanyela ya Mwaka 2023.

2. Utangazaji wa eneo la upangaji

Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii linatangazwa kuwa eneo la upangaji kwa madhumuni ya Sheria ya Mipangomiji.[Sura ya 355]

3. Mpango wa jumla na kina wa eneo

Mipango ya Jumla na kina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali inaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Mji wa Geita.

Jedwali (limetengenezwa chini ya aya ya 2)

Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo:“Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A yenye majira - nukta 432707.87MS, 9684694.54KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ145°39'54"MG kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira - nukta 432574.15MS, 9685297.65KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KZ117°14'23"MS kwa umbali wa kilomita 0.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira - nukta 432834.66MS, 9685947.86KS; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa kufuata mwambao wa hifadhi ya msitu wa Geita kwa umbali wa kilometa 1.21 katika uelekeo wa KZ93°15'57"MS; hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira - nukta KZ434037.28MS, 9686061.67KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa KZ81°20'56" kwa umbali wa kilometa 0.78 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba E yeneye majira - nukta 434008.23MS, 9686839.06KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika makutano ya barabara ya Bung’wangoko katika uelekeo wa KZ187°05'14MS" kwa umbali wa kilometa 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira - nukta 434617.5MS, 9686769.49KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS88°12'23"MS kwa umbali wa kilometa 0.68 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba G yenye majira - nukta 435289.43MS, 9686658.01KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa KS100°08'12"MS hadi kwenye barabara ya Mwilima kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H yenye majira - nukta 435349.77MS, 9687108.37KS; baada ya hapo mpaka kuelekea Mashariki katika uelekeo wa MS100°08'12" hadi bwawa la Kasamwa kwa umbali wa kilomita 0.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba I yenye majira - nukta 436385.58MS, 9687093.77KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa MS146°16'07" kwa umbali wa kilomita 0.73 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba J yenye majira - nukta 436978.56MS, 9686666.94KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS157°45'22"MS kwa umbali wa kilomita 0.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba K yenye majira - nukta 437821.88MS, 9686454.80KZ; baada ya hapo mpaka unafuata bonde la mto Kusini - Mashariki katika uelekeo wa KS71°19'20"MS kwa umbali wa kilometa 0.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba L yenye majira - nukta 436996.40MS, 9685160.51KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS149°53'07"MS kwa umbali wa kilomita 1.53 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P yenye majira - nukta 436996.76MS, 9685160KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS143°21'56"MG kwa umbali wa kilomita 0.39 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba Q yenye majira - nukta 436646.33MS, 9684978.60KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa KZ166°01'03"MG kwa umbali wa kilomita 0.98 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba R yenye majira - nukta 435676.56MS, 9685136.53KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi katika uelekeo wa KS171°49'59"MG kwa umbali wa kilomita 1.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba S yenye majira nukta 434049.57MS, 96850001.84KZ; hadi ulipoanzia”
▲ To the top

History of this document

07 April 2023 this version
17 March 2023
Assented to