Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Ihemi ya mwaka 2023

Government Notice 302 of 2023

Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Ihemi ya mwaka 2023

Tanzania
Town and Country Planning Act

Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Ihemi ya mwaka 2023

Tangazo la Serikali 302 ya 2023

[Imetengenezwa chini ya kifungu cha 8(1) na 23(1)]

1. Jina

Amri hii itajulikana kama Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Ihemi ya mwaka 2023.

2. Utangazaji wa eneo la upangaji

Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii linatangazwa kuwa eneo la upangaji la mpango wa urasimishaji kwa madhumuni ya Sheria ya Mipangomiji.[Sura ya 355]

3. Mipangokina ya eneo

Mipangokina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali inaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.

Jedwali (Limetengenezwa chini ya aya ya 2)

Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo—“Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P1 yenye majira - nukta 778876MS, 9116316KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 0.82 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P2 yenye majira - nukta 778231MS, 9115798KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 0.68 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P3 yenye majira - nukta 777634MS, 9115455KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 1.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P4 yenye majira - nukta 776549MS, 9114935KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.38 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P5 yenye majira - nukta 776234MS, 9114714KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 0.31 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P6 yenye majira - nukta 776000MS, 9114509KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Mashariki kwa umbali wa kilomita 1.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P7 yenye majira-nukta 776761MS, 9105129KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P8 yenye majira - nukta776040MS, 9113022KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 3.0 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P9 yenye majira - nukta 773481MS, 9111367KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 3.0 hadi kwenye alama ya mpaka upimaji namba P17 yenye majira - nukta 773682MS, 9113961KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 2.3 hadi kweny ealama ya mpaka ya upimaji namba P18 yenye majira - nukta 774008MS, 9114211KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 0.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P19 yenye majira - nukta 774532MS, 9114822KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaj inamba P22 yenye majiranukta 775861MS, 9115595KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki kw aumbali wa kilomita 2.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P23 yenye majira - nukta 778026MS, 9116467KZ; hadi ulipoanzia”
▲ To the top

History of this document

07 April 2023 this version
17 March 2023
Assented to