Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Ifunda ya mwaka 2023

Government Notice 304 of 2023

Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Ifunda ya mwaka 2023

Tanzania
Town and Country Planning Act

Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Ifunda ya mwaka 2023

Tangazo la Serikali 304 ya 2023

[Imetengenezwa chini ya kifungu cha 8(1) na 23(1)]

1. Jina

Amri hii itajulikana kama Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Ifunda ya mwaka 2023.

2. Utangazaji wa eneo la upangaji sura ya 355

Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii linatangazwa kuwa eneo la upangaji la mpango wa urasimishaji kwa madhumuni ya Sheria ya Mipangomiji.

3. Mipangokina ya eneo

Mipangokina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali inaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.

Jedwali (limetengenezwa chini ya aya ya 2)

Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo—“Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P1 yenye majira - nukta 773016MS, 9110827KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P2 yenye majira - nukta 773361MS, 9110315KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P3 yenye majira - nukta 773269MS, 9109435KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 1.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P4 yenyemajira - nukta 772849MS, 9108384KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 1.16 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P5 yenye majira - nukta 772126MS, 9107479KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 3.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P6 yenye majira - nukta 769399, 9105084; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.58 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P7 yenye majira - nukta 768812MS, 9105065KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 1.28 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P8 yenye majira - nukta 768068MS, 9105966KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P9 yenye majira - nukta 768626MS, 9106267KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kweny ealama ya mpaka ya upimaji namba P10 yenye majira - nukta 768861MS, 9106826KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini-Magharibi kwa umbali wa kilomita 2.0 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P11 yenye majira - nukta 768861MS, 9106826KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 5.5 hadi ulipoanzia”
▲ To the top

History of this document

28 April 2023 this version
17 March 2023
Assented to