Amri ya Kupanga Eneo la Nyamalembo ya Mwaka 2023

Government Notice 323 of 2023

Amri ya Kupanga Eneo la Nyamalembo ya Mwaka 2023

Tanzania
Town and Country Planning Act

Amri ya Kupanga Eneo la Nyamalembo ya Mwaka 2023

Tangazo la Serikali 323 ya 2023

[Imetengenezwa chini ya kifungu cha 8(1)]

1. Jina

Amri hii itajulikana kama Amri ya Kupanga Eneo la Nyamalembo ya Mwaka 2023.

2. Utangazaji wa eneo la upangaji

Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii linatangazwa kuwa eneo la upangaji kwa madhumuni ya Sheria ya Mipangomiji.[Sura ya 355]

3. Mpango wa jumla na kina wa eneo

Mipango ya jumla na kina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali inaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Mji wa Geita.

Jedwali (Limetengenezwa chini ya aya ya 2)

Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo—“Unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A yenye majira - nukta 411456MS, 9681343KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeowa 103okwa umbali wa kilometa 0.76 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B yenyemajira - nukta 412203MS, 9681168KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki katika uelekeo wa 163o kwa umbali wa kilometa0.72 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira - nukta 412925MS, 9681211KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 84o kwa umbali wa kilometa 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba D yenye majira - nukta 412839MS, 9681712KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 88o kwa umbali wa kilomita 0.27 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba E yenye majira nukta 412568MS, 9681656KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 169o kwa umbali wa kilometa 1.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira - nukta 411458MS, 9681653KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 127o kwa umbali wa kilometa 0.37 hadi ulipoanzia”
▲ To the top

History of this document

28 April 2023 this version
17 March 2023
Assented to