Amri ya Kutangaza Pori la Akiba Kilombero ya Mwaka 2023

Government Notice 64 of 2023

Amri ya Kutangaza Pori la Akiba Kilombero ya Mwaka 2023

Tanzania
Wildlife Conservation Act, 2009

Amri ya Kutangaza Pori la Akiba Kilombero ya Mwaka 2023

Tangazo la Serikali 64 ya 2023

[Imetolewa chini ya kifungu cha 14(1)]
KWA KUWA, kifungu cha 14(1) cha Sheria ya Uhifadhi wa Wanyamapori, Sura ya 283 kinampa mamlaka Rais wa Jamhuri ya Muungano kuanzisha na kutangaza eneo lolote la ardhi kuwa pori la akiba;KWA KUWA, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana nia ya kutangaza eneo lote la ardhi yenye ukubwa wa kilomita za mraba 6,989.3 ndani ya Wilaya za Malinyi, Ulanga na Kilombero, katika Mkoa wa Morogoro kuwa Pori la Akiba Kilombero;NA KWAKUWA, Rais wa Jamhuri ya Muungano ameridhia kwamba kuna sababu za kutosha kumwezesha kutekeleza mamlaka ya kutangaza Pori la Akiba Kilombero;HIVYO SASA, katika kutekeleza mamlaka chini ya kifungu cha 14(1) cha Sheria ya Uhifadhi wa Wanyamapori, Sura ya 283 Mimi, SAMIA SULUHU HASSAN, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania natangaza kama ifuatavyo:

1. Jina

Amri hii itajulikana kama Amri ya Kutangaza Pori la Akiba Kilombero ya Mwaka 2023.

2. Kuanzishwa kwa pori la Akiba

Eneo la ardhi ndani ya mipaka iliyoainishwa katika Jedwali la Amri hii linatangazwa kuwa Pori la Akiba Kilombero kwa dhumuni la utekelezaji wa Sheria ya Uhifadhi wa Wanyamapori.[Sura ya 283]

Jedwali (Limetengenezwa chini ya aya ya 2)

Pori la Akiba Kilombero

Eneo A

Na. ya KigingiUelekeoUmbali ( M)KaskaziniMashariki
KLGR1 (Kuanzia kwenye makutano ya mito ya Kilombero na Lumemo)  9093976.9905233.93
 Uelekeo wa juu kufuata mto Kilombero9836.92  
KLGR2  9090853.58N897941.02
 Uelekeo wa juu kufuata mto kilombero "5751.87  
KLGR3 Makutano ya mto kilombero na mto ulala  9087257.47N895238.73E
 Uelekeo wa juu kufuata mto Ulala6522.55  
KLGR4  9084965.10N900893.12E
 241°52'28"3540.78  
KLGR5  9083295.96N897770.44E
 207°52'23"7434.27  
KLGR6  9076724.18N894294.80E
 228°09'22"4626.61  
KLGR7 Katika mto Nakafuru  9073504.33N890699.15E
 Uelekeo wa juu kufuata mto Nakafuru2723.37  
KLGR8 Pembeni, ya mto Nakafuru  9072856.68N892997.52E
 214°03'41"8392.8  
KLGR9  9065903.76N888296.88E
 241°13'46"12009.96  
KLGR10  9060123.34N877769.49E
 235°01'04"5135.65  
KLGR11 Katika mto Lufile  9054232.30N869350.61E
 Uelekeo wa juu kufuata mto Lufile9455.23  
KLGR12 Katikati ya mto lufile  9046261.67N865451.12E
 Uelekeo wa juu kufuata mto Lufile8271.17  
KLGR13 katika makutano ya mto Lufile na mto Kipenyo  9039288.33N866362.34E
 211°47'48"8437  
KLGR14  9032117.52N861916.83E
 288°56'52"3188.45  
KLGR15 Tawi la mto Mnyera  9033052.50N,858868.55E
 Uelekeo wa juu kuelekea kusini kufuata tawi la mtoMnyera9413.63  
KLGR16  9024748.02N860965.43E
 265°35'28"206.35  
KLGR17 Mashariki mwa mto Mnyera  9023161.70N840391.38E
 Uelekeo wa juu ya mto Mnyera3579.55  
KLGR18 Mashariki mwa mto Mnyera  9020913.14N839116.14E
 Uelekeo wa juu ya mto Mnyera6086.8  
KLGR19 Mashariki mwa mto Mnyera  9018696.22N833713.78E
 Uelekeo wa juu kufuata mto Mnyera1874.89  
KLGR20 Makutano yam to Mnyera na Ruhugi  9016168.56N831093.62E
 Uelekeo wa juu kufuata mto Ruhugi1298.16  
KLGR21  9014149.52N829229.36E
 Uelekeo wa juu kufuata mto Ruhugi3630.53  
KLGR22  9012339.77N826893.08E
 273°21'23"943.39  
KLGR23  9012383.28N825950.69E
 180°27'37"827.78  
KLGR24  9011561.53N825944.09E
 105°52'24”801.13  
KLGR25  9011366.00N826721.00E
 195°55'08"1784.51  
KLGR26  9009648.00N826231.00E
 268°36'40"825.24  
KLGR27  9009628.00N825406.00E
 175°58'42"910.29  
KLGR28  9008722.66N825500.81E
 237°38'55"4239.51  
KLGR29  9006438.00N821894.00E
 259°39'40"2050.44  
KLGR30 Mashariki mwa mto Mnyera  9006078.81N819875.27E
 Uelekeo wa juu upande wa mashariki kufuata mto Mnyera kuelekea kusini8798.22  
KLGR31  9001387.61N822036.52E
 Uelekeo wa juu kufuata mto Mnyera upande wa mashariki4476.49  
KLGR32 Mashariki mwa mto Mnyera  9000916.64N825444.37E
 161°25'26"5751.8  
KLGR33  8995492.21N827357.16E
 294°46'22"4971.25  
KLGR34 Mashariki mwa mto Mnyera    
 Uelekeo wa juu, wa mto Myera upande wa kusini kuelekea magharibi10400.47  
KLGR34A  8992286.11N819560.16E
 Uelekeo wa juu, wa mto Myera upande wa kusini kuelekea magharibi53354.1  
KLGR35  8991727.83N815525.26E
 Uelekeo wa juu, wa mto Myera upande wa kusini kuelekea magharibi10060  
KLGR36  8989089.93N809655.47E
 Uelekeo wa juu, wa mto Myera upande wa kusini kuelekea magharibi11649.66  
KLGR37  8989312.18N802871.54E
 45°05'14"3332.13  
KLGR38  8994017.34N807591.06E
 44°54'47"17013.74  
KLGR39  9007262.96N820038.31E
 33°11'47"1181.91  
KLGR40  9007262.96N820038.31E
 7°53'26"2383.9  
KLGR41  9009624.29N820365.58E
 23°13'25"2841.43  
KLGR42  9012235.49N,821486.01E
 0°27'11"941.92  
KLGR43  9014943.75N821947.51E
 14°24'57"1823.79  
KLGR44  9014943.75N821947.51E
 24°05'19"1724.95  
KLGR45  9016518.51N822651.56E
 349°34'44"1809.67  
KLGR46  9018291.35N822288.33E
 45°17'57"1426.5  
KLGR47  9019294.76N823302.27E
 346°59'35"1180.44  
KLGR48  9020435.01N822996.89
 08°15'51"1850.31  
KLGR49  9022266.11N823262.85E
 31°49'22"2295.06  
KLGR50  9024216.18N824473.02E
 10°24'34"2182.08  
KLGR51  9026362.35N824867.28
 342°33'05"1738.24  
KLGR52  9028010.27N824314.25E
 30°54'07"1613.18  
KLGR53  9029394.46N825142.73E
 60°04'04"874.85  
KLGR54  9029830.99N825900.89E
 11°17'01"3346.7  
KLGR55  9033113.00N826555.72E
 76°36'16"3433.45  
KLGR56  9033908.38N829895.77E
 87°07'05"1261.02  
KLGR57  9033971.78N831155.20E
 44°13'49"3181.24  
KLGR58  9036251.27N833374.25E
 54°43'13"1668.48  
KLGR59  9037908.29N833179.00E
 21°52'27"4650.23  
KLGR60  9042223.72N834911.53E
 72°52'15"1350.44  
KLGR61  9042621.46N,836202.07E
 33°44'41"4184.22  
KLGR62  9046100.73N838526.37E
 59°10'06"998.35  
KLGR63  9046612.40N839383.63E
 0°23'49"2401.46  
KLGR64  9049013.80N839400.27E
 40°12'45"7722.12  
KLGR65  9054910.83N844385.86E
 328°22'46"2195.21  
KLGR66  9056764.73N843210.27E
 40°49'11"11955.74  
KLGR67  9065812.49N851025.49E
 22°49'03"1040.72  
KLGR68  9066771.77N,851429.08E
 78°15'52"1996.91  
KLGR69  9067177.93N853384.25
 1°00'02"949.37  
KLGR70  9068127.15N853400.83E
 33°55'35"865.23  
KLGR71  9068845.08N853883.74E
 304°00'17"562.16  
KLGR72  9069159.40N853417.66E
 65°53'42"281875  
KLGR73  9070310.6855990.61
 30°44'37”994.43  
KLGR74  9071165.28N856498.96E
 348°33'35”994.63  
KLGR75  9072136.11N856282.675E
 04°27'06”994.36  
KLGR76  9073127.47N856359.85E
 304°49'14”1985.86  
KLGR77  9077821.36N854228.16E
 353°46'45”3611.5  
KLGR77A  9074243.10N854716.99E
 24°28'27”1316.63  
KLGR78  9079019.69N854773.62E
 103°53'34”4835.78  
KLGR79  9078005.42N859501.84E
 48°15'49”1033.07  
KLGR80  9078693.14N860272.73E
 103°53'34”1159.38  
KLGR81  9078350.13N861380.21E
 61°37'05”2951.87  
KLGR82  9079753.29N863977.26E
 84°34'26”1993.01  
KLGR83  9079941.75N865961.34E
 88°50'07”2114.59  
KLGR84  9079984.77N868075.49E
 175°31'22”997.8  
KLGR85  9078991.60N868171.52E
 140°44'20”2569.93  
KLGR86  9077365.20N870161.34E
 60°34'23”3375.42  
KLGR87  9079023.59N873101.27E
 331°47'45”1531.36  
KLGR88  9080352.51N872340.32E
 26°26'41”860.85  
KLGR89  9081123.29N872723.69E
 62°10'30”837.99  
KLGR90  9081514.44N873464.79E
 96°58'40”1463.9  
KGR91  9081386.29N874923.07E
 84°36'08”1247.35  
KLGR92  9081503.63N876164.89E
 62°40'33”1775.58  
KLGR93  9082318.67N877742.36E
 357°44'19”1443.61  
KLGR94  9083759.21N877648.23E
 69°45'11”2591.46  
KLGR95  9084656.03N880079.56E
 55°49'08”1694.77  
KLGR96  9085608.17N881481.58
 30°05'55”725.46  
KLGR97  9086235.81N881845.39
 70°25'59”2424.4  
KLGR98  9087047.76N884129.78E
 304°24'40”388.43  
KLGR99  9087815.88N882973.18E
 58°30'37”1412.21  
KLGR100  9088553.54N884177.42E
 47°53'25”1567.73  
KLGR101  9089604.79N885340.46E
 91°55'95”540.41  
KLGR102  9089604.07N885880.87E
 58°23'31”1001.27  
KLGR103  9090128.84N886733.6
 84°14'41”399.29  
KLGR104  9090168.88N887130.88E
 50°17'59”1306.39  
KLGGR105  9091003.36N888136.01
 60°08'07”4352.6  
KLGR106  9093170.75N891910.60E
 40°28'28”326.48  
KLGR107  9093419.10N892122.52E
 70°02'28”703.6  
KLGR108  9093659.27N892783.86E
 82°37'48”3078.85  
KLGR109  9094054.22N895837.27E
 35°26'50”310.15  
KLGR110  9094306.88N896017.14E
 79°20'32”762.24  
KLGR111  9094447.85896766.23
 96°03'56”726.09  
KLGR112  9094372.78N897488.43
 65°35'23”2388.4  
KLGR113  9095359.83N899663.33E
 101°23'39”1040.2  
KLGR114  9095168.38N900685.76E
 85°59'40”909.76  
KLGR115  9095231.93N901593.30E
 355°22'27”383.64  
KLGR116  9095601.84N901491.59
 70°00'59”549.14  
KLGR117  9095789.51N902007.67E
 87°01'31”1168.7  
KLGR118  9095850.16N903174.79E
 194°12'12”792.25  
KLGR119  9095082.13N902980.40E
 153°52'29”2509.97  
KLGR1 Sehemu ya kuanzia    
Eneo = Kilomita za mraba 2384.00
Datum = ARC 1960
Projection: Africa; UTM Zone 37S

Eneo B

Na. ya KigingiUelekeoUmbali (M)KaskaziniMashariki
Kuanzia kwenye kigingi Na. KLGR120 kilichopo mlimani kusini mwa msitu wa Nambinga  9043823.43N883493.95
 114°10'44"15251.19  
KLGR121  9037660.51N897453.22E
 161°32'17"15619.58  
KLGR122  9022943.11N902675.34E
 187°36'50"9297.51  
KLGR123  9013725.59N901443.20E
 218°28'43"3455.98  
KLGR124  9011019.11N899291.08E
 169°01'03"1054.01  
KLGR125  9009984.52N899492.51E
 145°38'37"1609.44  
KLGR126  9009076.25N900821.17E
 187°38'14"31792.07  
KLGR127  8977566.19N896596.00E
 151°02'21"563.26  
KLGR128  8977073.74N896869.41E
 Kisha mpaka utaelekea kusini magharibi kufuata mpaka wa Hifadhi ya Taifa ya Nyerere kuanzia alama NNP 70, NNP69, NNP68, NNP67, NNP66, NP65, NNP64, NNP63 na NNP62   
NNP62  8925816.99840128.37
 340°10'13"2003.26  
KLGR129  8927701.81N839436.00E
 276°59'54"1140.66  
KLGR130  8927801.26N838299.68E
 227°16'22"1840.15  
KLGR131  8926552.70N836947.92E
 kisha mpaka utafuata ramani ya upimaji wa kijiji cha Kitanda Namba E/20/31/19 na usajiri Na.42984 kwa upande wa kusini magharibi10500.26  
KLGR132  8923173.97N829859.09E
 kisha mpaka utafuata ramani ya upimaji wa kijiji cha Kitanda Namba E/20/31/19 na usajiri Na.42984 kwa upande wa kusini magharibi8942.06  
KLGR133  8920025.75N822880.81E
 kisha mpaka utafuata ramani ya upimaji wa kijiji cha Kitanda Namba E/20/31/19 na usajiri Na.42984 kwa upande wa kusini magharibi12917.82  
KLGR134  8911925.57N815826.95E
 kisha mpaka utafuata ramani ya upimaji wa kijiji cha Kitanda Namba E/20/31/19 na usajiri Na.42984 kwa upande wa kusini magharibi9515.12  
KLGR134A  8907490.19N808392.44E
 kisha mpaka utafuata ramani ya upimaji wa kijiji cha Kitanda Namba E/20/31/19 na usajiri Na.42984 kwa upande wa kusini magharibi5186.47  
KLGR135 Kwenye mkondo wa mto Pitu  8982993.50N818825.87E
 297°43'42"2293.86  
KLGR136  8983390.64N820377.98E
 Kufuata mto Pitu, uelekeo wa chini kaskazini18495.04  
KLGR137  8978512.08N823180.46E
 Kufuata mto Pitu, uelekeo wa chini kaskazini14512.08  
KLGR138  8971544.81N827093.86E
 Kufuata mto Pitu, uelekeo wa chini kaskazini23592.89  
KLGR139  8989698.41N836473.81E
 Kufuata mto Pitu, uelekeo wa chini kaskazini na kaskazini mashariki24462.51  
KLGR140  8994462.42N849889.12E
 Kufuata mto Pitu, uelekeo wa chini kaskazini na kaskazini mashariki12659.14  
KLGR140A  8969091.52N819268.52E
 Kufuata mto Pitu, uelekeo wa chini kaskazini na kaskazini mashariki17729.50  
KLGR141  9004376.30N858183.75E
 Kufuata mto Ruhudji uelekeo wa chini kuelekea mashariki2040.15  
KLGR142  8996176.16N864459.58E
 151°52'30"5626.21  
KLGR143 katika mto Hangu  8993126.46N871715.73E
 Kufuata mto hangu uelekeo wa juu kuelekea kusini na kusini mashariki13337.49  
KLGR144  8998851.13N875396.84E
 25°17'48"20427.56  
KLGR145  8998618.96N876413.55E
 70°28'04"14244.13  
KLGR146  8997664.69N877227.56E
 39°52'40"12919.88  
KLGR147 upande wa magharibi wa mto Furua  8996394.58N877285.67E
 Uelekeo wa chini kusini mashariki kufuata mto Furua15973.75  
KLGR148  8996378.80N880665.58E
 Uelekeo wa chini kusini mashariki kufuata mto Furua12855.65  
KLGR149  8996211.11N883061.18E
 Uelekeo wa chini kusini mashariki kufuata mto Furua10397.07  
KLGR150  8995798.46N883984.30E
 127°33'24"3096.76  
KLGR151  8996543.49N885786.46E
 96°55'05"6727.06  
KLGR152  8996458.92N889514.08E
 83°11'21"5569.08  
KLGR153  9003049.79N889662.60E
 01°17'27"6592.54  
KLGR154  9003142.51N885535.68E
 268°42'47"4127.96  
KLGR155  9002757.68N882207.00N
 269°20'44"8438.18  
KLGR156  9003209.66N878329.70E
 214°37'10"3175.36  
KLGR157  9003238.88N877098.05E
 324°06'12"10546.99  
KLGR158  9002108.66N875647.22E
 02°13'13"6039.86  
KLGR159  9000626.74N875283.06E
 15°59'20"1159.05  
KLGR160  9009164.95N869056.15E
 69°09'45"6514.76  
KLGR161  9015198.35N869289.59
 335°59'39"6805.23  
KLGR162  9026121.83N872419.54N
 40°44'22"12223.78  
kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki hadi kigingi KLGR120 kilichopo mlimani kusini mwa msitu wa Nambinga sehemu ya kuanzia.   
Eneo=Kilomita za Mraba 4611.5
Datum: Arc 1960
Projection: Africa; UTM Zone 37S

Pori la Akiba Kilombero Maelezo ya mpaka eneo A

Kipande chote cha Ardhi ya eneo lenye ukubwa wa Kilomita za mraba 2,381.50 kilichopo katika Wilaya za Ulanga, Malinyi na Kilombero ndani ya Mkoa wa Morogoro kimeelezwa kijiografia kama ifuatavyo:—Kuanzia kwenye makutano ya mito ya Kilombero na Lumemo kwenye kigingi chenye Na. KLGR1(9093976.90, 905233.93), kisha kuelekea juu kufuata upande wa kusini mwa mto Kilombero kwa uelekeo wa kusini magharibi kwa umbali wa mita 9836.91 hadi kigingi Na. KLGR2 (9090853.58N, 897941.02E), kisha kuelekea kusini magharibi kufuata mto huo kwa umbali wa mita 5751.87 hadi kigingi Na. KLGR3 (9087257.47N, 895238.73E), kilichopo katika makutano ya mto Kilombero na mto Ulala kisha kufuata uelekeo wa juu wa mto Ulala kwa uelekeo wa kusini mashariki kwa umbali wa mita 6522.54 hadi kigingi Na. KLGR4 (9084965.10N, 900893.12E), kisha kufuata uelekeo wa kusini magharibi kwa umbali wa mita 3540.78 hadi kigingi Na. KLGR5 (9083295.96N, 897770.44E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kusini magharibi kwa umbali wa mita 7434.26 hadi kigingi Na. KLGR6 (9076724.18N, 894294.80E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kusini magharibi kwa umbali wa mita 4826.61 hadi kigingi Na. KLGR7 (9073504.33N, 890699.15E), kilichopo katika mto Nakafulu, kisha mpaka utafuata uelekeo wa juu wa mto Nakafuru upande wa kusini mashariki kwa umbali wa mita 2723.36 hadi kigingi Na. KLGR 8 (9072856.68N, 892997.52E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kusini magharibi kwa umbali wa mita 8508.28 hadi kigingi Na. KLGR9 (9065903.76N, 888296.88E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kusini magharibi kwa umbali wa mita 12010.28 hadi kigingi Na. KLGR10 (9060123.34N, 877769.49E) kisha mpaka utafuata uelekeo wa kusini magharibi kwa umbali wa mita 10616.05 hadi kigingi Na. KLGR11 (9054232.30N, 869350.61E) kisha mpaka utafuata uelekeo wa kusini magharibi kwa umbali wa mita 9455.20 hadi kigingi Na. KLGR12 (9046261.67N, 865451.12E), kisha mpaka utafuata mto Kipenyo kwa uelekeo wa juu kwenda kusini umbali wa mita 8271.16 hadi kigingi Na. KLGR13 (9039288.33N, 866362.34E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kusini magharibi kwa umbali wa mita 8462.20 hadi kigingi Na. KLGR14 (9032117.52N, 861916.83E) kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 3188.45 hadi kigingi Na. KLGR15 (9033052.50N, 858868.55E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kusini kwa umbali wa mita 9413.63 hadi kigingi Na. KLGR16 (9024748.02N, 860965.43E) kilichopo pembezoni mita 500 mwa mkondo wa mto Mnyera, kisha mpaka utaelekea upande wa magharibi kwa umbali wa mita 21561.06 hadi kigingi Na. KLGR17(9023161.70N, 840391.38E), kilichopo upande wa mashariki mwa mto Mnyera kisha mpaka utafuata mto Mnyera upande wa mashariki uelekeo wa juu kuelekea kusini magharibi kwa umbali wa mita 3579.35 hadi kigingi Na. KLGR18 (9020913.14N, 839116.14E) kisha mpaka utaelekea kusini magharibi kufuata uelekeo wa juu kufuata mto Mnyera upande wa mashariki kwa umbali wa mita 6086.80 hadi kigingi Na. KLGR19 (9018696.22N, 833713.78E), kilichopo katika makutano ya mto Mnyera na mferejilisha mpaka utafuata uelekeo huo wa mto kwa umbali wa mita1874.89 hadi kigingi Na. KLGR20 (9016168.56N, 831093.62E) kilichopo katika makutano ya mto Mnyera na mto Ruhugi kisha mpaka utafuatauelekeo wa juu wa mto Ruhugi kusini magharibi kwa umbali wa mita 7298.15 hadi kigingi Na. KLGR21 (9014149.52N, 829229.36E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo wa mto huo kwa umbali wa mita 3630.36 hadi kigingi Na. KLGR22 (9012339.77N, 826893.08E) kisha mpaka utaelekea magharibi kwa umbali wa mita 943.40 hadi kigingi Na. 23 KLGR23 (9012383.28N, 825950.69E) kisha mpaka utaelekea kusini kwa mita 888.84 hadi kigingi Na. KLGR24 (9011561.53N, 825944.09E) kisha mpaka utaelekea kusini mashariki kwa umbali wa mita 801.14 hadi kigingi Na. KLGR25 (9011366.00N, 826721.00E) kisha mpaka utaelekea kusini magharibi kwa umbali wa mita 1786.51hadi kigingi Na. KLGR26 (9009648.00N, 826231.00E) kisha mpaka utaelekea upande wa mgharibi kwa umbali wa mita 825.24 hadi kigingi Na. KLGR27 (9009628.00N, 825406.00E) kisha mpaka utaelekea kusini kwa umbali wa mita 910.30 hadi kigingi Na. KLGR28 (9008722.66N, 825500.81E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kusini magharibi kwa umbali wa mita 4269.51 hadi kigingi Na. KLGR29 (9006438.00N, 821894.00E) kilichopo upande wa mashariki mwa mto Lupungo kisha mpaka utafuata uelekeo wa kusini magharibi kwa umbali wa mita 2050.44 hadi kigingi Na. KLGR30 (9006078.81N, 819875.27E) kilichopo upande wa mashariki wa mto Mnyera, kisha mpaka utafuata uelekeo wa juu wa mto Mnyera upande wa mashariki mwa mto kwa uelekeo wa kusini na kusini mashariki kwa umbali wa mita 8798.22 hadi kigingi Na. KLGR31(9001387.61N, 822036.52E) kilichopo katika makutano ya mto Mnyera na mto LupungoKisha mpaka utafuata uelekeo wa juu wa mto Lupungo/Ruhudji upande wa kaskazini wa mto kuelekea mashariki kwa umbali wa mita 4476.49 hadi kigingi Na. KLGR32(9000916.64N, 825444.37E) kilichopo upande wa mashariki wa mto Ruhudji. kisha mpaka utaelekea upande wa kusini kusini mashariki kwa umbali wa mita 5751.80 hadi kigingi Na. 33 KLGR33 (8995492.21N, 827357.16E) kisha mpaka utaelekea kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 4971.25 hadi kigingi Na. KLGR34 kilichopo upande wa mashariki mwa mto Mnyera kisha mpaka utafuata uelekeo wa juu wa mto Mnyera kwa upande wa mashariki na kusini kuelekea kusini na kusini magharibi kwa umbali wa mita 10400.47 hadi kigingi Na. KLGR34A (8992286.11N, 819560.16E) kisha mpaka utafuata upande wa kusini wa mto Mnyera uelekeo wa juu kwenda kusini magharibi kwa umbali wa mita 5335.41 hadi kigingi Na. KLGR35 (8991727.83N, 815525.26E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo wa mto kwa umbali wa mita 10060.98 hadi kigingi Na. KLGR36 (8989089.93N, 809655.47N), kisha mpaka utafuata uelekeo huo wa mto kwa umbali wa mita 11649.66 hadi kigingi Na. KLGR37 (8989312.18N, 802871.54E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 6664.26 hadi kigingi Na. KLGR38 (8994017.34N, 807591.06E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 17013.74 hadi kigingi Na. KLGR39 (9007262.96N, 820038.31E) kilichopo kusini mwa mto Mpanga, kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 1181.92 hadi kigingi Na. KLGR40 (9007262.96N, 820038.31E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 2383.90 hadi kigingi Na. KLGR41(9009624.29N, 820365.58E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 2841.43 hadi kigingi Na. KLGR42 (9012235.49N, 821486.01E) kisha mpaka utaelekea kaskazini kwa umbali wa mita 942.00 hadi kigingi Na. KLGR43 (9014943.75N, 821947.51E), kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 1823.80 hadi kigingi Na. KLGR44 (9014943.75N, 821947.51E) kisha mpaka utafuatauelekeo huo kwa umbali wa mita1724.98 hadi kigingi Na. KLGRR45 (9016518.51N, 822651.56E) kisha mpaka utafuatauelekeo wa kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 1806.67 hadi kigingi Na. KLGR46 (9018291.35N, 822288.33E) kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 1426.50 hadi kigingi Na. KLGR47(9019294.76N, 823302.27E) kisha mpaka utaelekea kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 1180.44 hadi kigingi Na. KLGR48 (9020435.01N, 822996.89) kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 1850.31 hadi kigingi Na. KLGR49 (9022266.11N, 823262.85E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita2295.06 hadi kigingi Na. KLGR50 (9024216.18N, 824473.02E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 2182.08 hadi kigingi Na. KLGR51 (9026362.35N, 824867.28), kisha mpaka utafuatauelekeo wa kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 1738.24 hadi kigingi Na. KLGR52 (9028010.27N, 824314.25E) kisha mpaka utafuata uelekeowa kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 1613.19 hadi kigingi Na. KLGR53 (9029394.46N, 825142.73E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 874.75 hadi kigingi Na. KLGR54 (9029830.99N, 825900.89E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 3346.69 hadi kigingi Na. KLGR55 (9033113.00N, 826555.72E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 3433.45 hadi kigingi Na. KLGR56 (9033908.38N, 829895.77E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 1261.02 hadi kigingi Na. KLGR57 (9033971.78N, 831155.20E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 3181.23 hadi kigingi Na. KLGR58 (9036251.27N, 833374.25E), kisha mpaka utafuatauelekeo wa kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 1668.48 hadi kigingi Na. KLGR59 (9037908.29N, 833179.00E), kisha mpaka utafuatauelekeo wa kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 4650.22 hadi kigingi Na. (9042223.72N, 834911.53E), kisha mpaka utafuatauelekeo huo kwa umbali wa mita 1350.44 hadi kigingi Na. KLGR61(9042621.46N, 836202.07E), kisha mpaka utafuata uelekeohuo kwa umbali wa mita 4184.21 hadi kigingi Na. KLGR62 (9046100.73N, 838526.37E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 998.35 hadi kigingi Na. KLGR63 (9046612.40N,839383.63E), kisha mpaka utaafuata uelekeo wa kaskazi kwa umbali wa mita 2401.45 hadi kigingi Na. KLGR64 (9049013.80N, 839400.27E), kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 7222.11 hadi kigingi Na. KLGR65 (9054910.83N, 844385.86E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 2195.21 hadi kigingi Na. KLGR66 (9056764.73N, 843210.27E) kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 11955.74 hadi kigingi Na. KLGR67 (9065812.49N, 851025.49E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 1040.72 hadi kigingi Na. KLGR68(9066771.77N, 851429.08E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 1996.91 hadi kigingi Na. KLGR69 (9067177.93N, 853384.25), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini kwa umbali wa mita 949.36 hadi kigingi Na. KLGR70(9068127.15N, 853400.83E) kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 865.23 hadi kigingi Na. KLGR71 (9068845.08N, 853883.74E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 562.17 hadi kigingi Na. KLGR72 (9069159.40N, 853417.66E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini mahariki kwa umbali wa mita 2818.74 hadi kigingi Na. KLGR73 (9070310.60, 855990.61) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbaliwa mita 994.44 hadi kigingi Na. KLGR74 (9071165.28N,856498.96E) kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 994.94 hadi kigingi Na. 75 KLGR75 (9072136.11N, 856282.675E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 994.36 hadi kigingi Na. KLGR76 (9073127.47N, 856359.85E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 1985.85 hadi kigingi Na. KLGR77 (9077821.36N, 854228.16E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 3611.49 hadi kigingi Na. KLGR77A (9074243.10N, 854716.99E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 1316.63 hadi kigingi Na. KLGR78 (9079019.69N, 854773.62E), kisha mpaka utaelekea kusini mashariki kwa umbali wa mita 4835.79 hadi kigingi Na. KLGR79 (9078005.42N, 859501.84E) kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 1033.06 hadi kigingi Na. KLGR80 (9078693.14N, 860272.73E) kisha mpaka utaelekea kusini mashariki kwa umbali wa mita 1159.38 hadi kigingi Na. KLGR81(9078350.13N, 861380.21E) kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 2951.87 hadi kigingi Na. KLGR82 (9079753.29N, 863977.26E), kisha mpaka utaelekea mashariki kwa umbali wa mita 1993.00 hadi kigingi Na. KLGR83 (9079941.75N, 865961.34E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 2114.59 hadi kigingi Na. KLGR84 (9079984.77N, 868075.49E) kisha mpaka utaelekea kusini kwa umbali wa mita 997.81 hadi kigingi Na. KLGR85(9078991.60N, 868171.52E), kisha mpaka utaelekea kusini mashariki kwa umbali wa mita 2569.93 hadi kigingi Na. KLGR86 (9077365.20N, 870161.34E) kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 3375.43 hadi kigingi Na. KLGR87 (9079023.59N, 873101.27E), kisha mpaka utaelekea kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 1531.37 hadi kigingi Na. KLGR88 (9080352.51N, 872340.32E), kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 860.86 hadi kigingi Na. KLGR89 (9081123.29N, 872723.69E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 837.99 hadi kigingi Na. KLGR90 (9081514.44N, 873464.79E), kisha mpaka utaelekea kusini mashariki kwa umbali wa mita 1463.89 hadi kigingi Na. KLGR91 (9081386.29N,874923.07E), kisha mpaka utaelekea mashariki kwa umbali wa mita 1247.35 hadi kigingi Na. KLGR92 (9081503.63N, 876164.89E), kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 1775.58 hadi kigingi Na. KLGR93 (9082318.67N, 877742.36E), kisha mpaka utaelekea kaskazini kwa umbali wa mita 1443.61 hadi kigingi Na. KLGR94 (9083759.21N, 877648.23E), kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 2591.4695 hadi kigingi Na.95 KLGR95 (9084656.03N, 880079.56E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali huo kwa mita 1694.77 hadi kigingi Na. KLGR96 (9085608.17N, 881481.58), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 725.46 hadi kigingi Na. KLGR97 (9086235.81N, 881845.39), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 2424.40 hadi kigingi Na. KLGR98 (9087047.76N, 884129.78E), kisha mpaka utaelekea kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 1388.43 hadi kigingi Na. KLGR99 (9087815.88N, 882973.18E), kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 1412.21 hadi kigingi Na. KLGR100 (9088553.54N, 884177.42E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 1567.73 hadi kigingi Na. KLGR101(9089604.79N, 885340.46E) kisha mpaka utafuata uelekeo wa mashariki kwa umbali wa mita 540.42 hadi kigingi Na. KLGR102 (9089604.07N, 885880.87E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 1001.26 hadi kigingi Na. KLGR103 (9090128.84N, 886733.60), kisha mpaka utafuata uelekeo wa mashariki kwa umbali wa mita 399.30 hadi kigingi Na. KLGR104(9090168.88N, 887130.88E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 1306.39 hadi kigingi Na. KLGR105 (9091003.36N, 888136.01), kisha mpaka utafuatauelekeo huo kwa umbali wa mita 4352.49 hadi kigingi Na. KLGR106 (9093170.75N, 891910.60E), kisha mpaka utafuatauelekeo huo kwa umbali wa mita 326.48 hadi kigingi Na. KLGR107 (9093419.10N, 892122.52E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 703.60 hadi kigingi Na. KLGR108 (9093659.27N, 892783.86E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 3078.84 hadi kigingi Na. KLGR109 (9094054.22N, 895837.27E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 310.15 hadi kigingi Na. KLGR110 (9094306.88N, 896017.14E), kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 762.25 hadi kigingi Na. KLGR111 (9094447.85N, 896766.23E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kusini mashariki kwa umbali wa mita 726.09 hadi kigingi Na. KLGR112 (9094372.78N, 897488.43), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 2388.40 hadi kigingi Na. KLGR113 (9095359.83N, 899663.33E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa kusini mashariki kwa umbali wa mita 1040.20 hadi kigingi Na.114KLGR114(9095168.38N,900685.76E), kisha mpaka utafuata uelekeo wa mashariki kwa umbali wa mita 909.76 hadi kigingi Na. KLGR115(9095231.93N, 901593.30E) kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 383.64 hadi kigingi Na. KLGR116 (9095601.84N, 901491.59) kisha mpaka utafuata uelekeo wa kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 549.15 hadi kigingi Na. (9095789.51N, 902007.67E) kisha mpaka utaelekea mashariki kwa umbali wa mita 1168.69 hadi kigingi Na. KLGR118 (9095850.16N, 903174.79E), kisha mpaka utaelekea kusini magharibi kwa umbali wa mita 792.25 hadi kigingi Na. KLGR119 (9095082.13N, 902980.40E), kisha mpaka utaelekea kusini mashariki kwa umbali wa mita 2509.96 hadi kwenye makutano ya mto Kilombero na mto Lumemo sehemu ya kuanzia KLGR1.

Pori la Akiba Kilombero maelezo ya mpaka eneo B

Kipande chote cha Ardhi ya eneo lenye ukubwa wa Kilomita za mraba 4607.8 kilichopo katika Wilaya za Ulanga, Malinyi na Kilombero ndani ya Mkoa wa Morogoro kimeelezwa kijiografia kama ifuatavyo:—Kuanzia kwenye kigingi Na. KLGR120 (9043823.43N, 883493.95) kilichopo mlimani kusini mwa msitu wa Nambinga mpaka utaelekea kusini mashariki kwa umbali wa mita 15259.19 hadi kigingi Na. KLGR121 (9037660.51N, 897453.22E) kisha mpaka utaelekea kusini mashariki kwa umbali wa mita 15616.52 hadi kigingi Na. KLGR122 (9022943.11N, 902675.34E) kisha utaelekea kusini magharibi kwa umbali wa mita 9299.50 hadi kigingi Na. KLGR123 (9013725.59N, 901443.20E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 3457.54 hadi kigingi Na. KLGR124 (9011019.11N, 899291.08E) kisha mpaka utaelekea kusini mashariki kwa umbali wa mita 1054.01 hadi kigingi Na. KLGR125 (9009984.52N, 899492.51E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 1609.44 hadi kigingi Na. KLGR126 (9009076.25N, 900821.17E) kisha mpaka utafuata uelekeo wa kusini kwa umbali wa mita 31792.07 hadi kigingi Na. KLGR127 (8977566.19N, 896596.00E) kisha mpaka utaelekea kusini mashariki kwa umbali wa mita 563.26 hadi kigingi Na. KLGR128 (8977073.74N, 896869.41E) kisha utaelekea kusini magharibi kufuata mpaka wa hifadhi ya Taifa ya Nyerere kuanzia alama NNP 70, NNP69, NNP68, NNP67. NNP66. NNP65. NNP64, NNP63 na NNP62 kisha mpaka utaelekea kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 2007.62 hadi kigingi Na. KLGR129 (8927701.81N, 839436.00E) kisha mpaka utaelekea magharibi kwa umbali wa mita 1140.48 hadi kigingi Na. KLGR130 (8927801.26N, 838299.68E) kisha mpaka utaelekea kusini magharibi kwa umbali wa mita 1839.90 hadi kigingi Na. KLGR131 (8926552.70N, 836947.92E kisha mpaka utafuata ramani ya upimaji wa kijiji cha Kitanda Namba E/20/31/19 na usajiri Na. 42984 kwa upande wa kusini magharibi kwa umbali wa mita 10500.26 hadi kigingi Na. KLGR132 (8923173.97N,829859.09E) kisha mpaka utafuata ramani hiyo na uelekeo huo kwa umbali wa mita 8942.06 hadi kigingi Na. KLGR133 (8920025.75N, 822880.81E) Kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 12917.82 hadi kigingi Na. KLGR134(8911925.57N, 815826.95E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 9515.12 hadi kigingi Na. KLGR134A(8907490.19N 808392.44E) kisha mpaka utaelekea magharibi kwa umbali wa mita 5186.47 hadi kigingi Na. 1 KLGR135 (8982993.50N, 818825.87E) kilichopo katika mkondo wa mto Pitu kisha mpaka utaelekea kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 12633.52 hadi kigingi Na. KLGR136 (8983390.64N, 820377.98E) kilichopo magharibi mwa mto Pitu kisha mpaka utaelekea kaskazini na kaskazini mashariki uelekeo wa chini katikati ya mto Pitu kwa umbali wa mita 18495.04 hadi kigingi Na. KLGR137 (8978512.08N, 823180.46E) kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki kufuata mto huo kwa umbali wa mita 14512.08 hadi kigingi Na. KLGR138 (8971544.81N, 827093.86E) kisha mpaka utafuata mto huo na uelekeo huo kwa umbali wa mita 23592.89 hadi kigingi Na. KLGR139 (8989698.41N, 836473.81E) kisha mpaka utafuata mto huo na uelekeo huo kwa umbali wa mita 24462.51 hadi kigingi Na. KLGR140 (8994462.42N, 849889.12E) kisha mpaka utafuata mto huo uelekeo wa kaskazini kwa umbali wa mita 12659.14 hadi kigingi Na. KLGR140A (8969091.52N, 819268.52E) kisha mpaka utafuata mto huo na uelekeo huo kwa umbali wa mita 17729.5 hadi kigingi Na. KLGR141 (9004376.30N, 858183.75E) kilichopo kwenye makutano ya mto Pitu na mto Ruhudji kisha mpaka utafuata mto Ruhudji uelekeo wa chini kuelekea kaskazini, kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 2040.15 hadi kigingi Na. KLGR142 (8996176.16N, 864459.58E) kisha mpaka utaelekea kusini mashariki kwa umbali wa mita 5633.36 hadi kigingi Na. KLGR143 (8993126.46N, 871715.73E) kilichopo mashariki mwa mto Hangu. kisha mpaka utafuata mto Hangu kwa uelekeo wa kusini mashariki kwa umbali wa mita 13337.49 hadi kigingi Na. KLGR144 (8998851.13N, 875396.84E) kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 20433.02 hadi kigingi Na. KLGR145 (8998618.96N, 876413.55E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 14232.98 hadi kigingi Na. KLGR146 (8997664.69N, 877227.56E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 13103.26 hadi kigingi Na. KLGR 147 (8996394.58N, 877285.67E) kilichopo upande wa mashariki wa mto Farua kisha mpaka utafuata mto Farua uelekeo wa juu kuelekea kusini mashariki kwa umbali wa mita 15973.75 hadi kigingi Na. KLGR148(8996378.80N, 880665.58E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 12855.65 hadi kigingi Na. KLGR149(8996211.11N, 883061.18E) kisha mpaka utaelekea mashariki, nkaskazini kwa umbali wa mita10397.07 hadi kigingi Na. KLGR150 (8995798.46N, 883984.30E) kisha mpaka utaelekea kusini mashariki kwa umbali wa mita 3096.41hadi kigingi Na. KLGR151 (8996543.49N, 885786.46E) kisha mpaka utaelekea mashariki kwa umbali wa mita 6719.53 hadi kigingi Na. KLGR152 (8996458.92N, 889514.08E) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 5563.92 hadi kigingi Na. KLGR153 (9003049.79N, 889662.60E) kisha mpaka utaelekea kaskazini kwa umbali wa mita 6586.12 hadi kigingi Na. KLGR154 (9003142.51N, 885535.68E) kisha mpaka utafuata uelekeo wa magharibi kwa umbali wa mita 4124.08 hadi kigingi Na. KLGR155 (9002757.68N, 882207.00N) kisha mpaka utafuata uelekeo huo kwa umbali wa mita 8431.1hadi kigingi Na. 156 KLGR156 (9003209.66N, 878329.70E) kisha mpaka utaelekea kusini magharibi kwa umbali wa mita 3351.7 hadi kigingi Na. KLGR157 (9003238.88N, 877098.05E) kisha mpaka utaelekea kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 10560.37 hadi kigingi Na. KLGR158 (9002108.66N, 875647.22E) kisha mpaka utaelekea kaskazini kwa umbali wa mita 6034.06 hadi kigingi Na. KLGR159 (9000626.74N, 875283.06E) kisha mpaka utaekelea kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 11355.47 hadi kigingi Na. KLGR160 (9009164.95N, 869056.15E) kisha mpaka utaendelea mashariki kwa umbali wa mita 6502.02 hadi kigingi Na. KLGR161 (9015198.35N, 869289.59) kisha mpaka utaelekea kaskazini magharibi kwa umbali wa mita 6794.31 hadi kigingi Na. KLGR162 (9026121.83N, 872419.54N) kisha mpaka utaelekea kaskazini mashariki kwa umbali wa mita 12210.45 hadi kigingi Na. KLGR120 kilichopo mlimani kusini mwa msitu wa Nambinga sehemu ya kuanzia.
▲ To the top

History of this document

24 February 2023 this version