Tanzania
Bank of Tanzania Act, 2006
Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za Mwaka, 2025
Tangazo la Serikali 198 ya 2025
- Imechapishwa katika Tanzania Government Gazette 13 hadi 28 Machi 2025
- Imeidhinishwa tarehe 11 Machi 2025
- Ilianza tarehe 28 Machi 2025
- [Hili ni toleo la hati hii kutoka 28 Machi 2025.]
1. Jina
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za mwaka 2025.2. Matumizi ya shilingi
Bei zote za bidhaa na huduma nchini zitatangazwa kwa shilingi ya Tanzania.3. Malipo kwa shilingi
4. Miamala inayoruhusiwa
5. Katazo kwa mikataba ya malipo kwa fedha ya kigeni
History of this document
28 March 2025 this version
11 March 2025
Assented to