Amri ya Kuanzisha Masjala Ndogo ya Mahakama ya Rufani ya Tanzania katika Mkoa wa Dar es Salaam ya Mwaka 2025

Government Notice 50 of 2025

Amri ya Kuanzisha Masjala Ndogo ya Mahakama ya Rufani ya Tanzania katika Mkoa wa Dar es Salaam ya Mwaka 2025

Tanzania
Tanzania Court of Appeal Rules, 2009

Amri ya Kuanzisha Masjala Ndogo ya Mahakama ya Rufani ya Tanzania katika Mkoa wa Dar es Salaam ya Mwaka 2025

Tangazo la Serikali 50 ya 2025

1. Jina na kuanza kutumika

(1)Amri hii itajulikana kama Amri ya Kuanzisha Masjala Ndogo ya Mahakama ya Rufani ya Tanzania katika Mkoa wa Dar es Salaam ya Mwaka 2025.
(2)Kanuni hizi zitaanza kutumika tarehe 31 Januari 2025.

2. Kuanzishwa kwa masijala ndogo ya Dar es Salaam

Inaanzishwa masjala ndogo ya Mahakama ya Rufani ya Tanzania katika mkoa wa Dar es Salaam.
▲ To the top

History of this document

31 January 2025
Commenced
24 January 2025 this version
21 January 2025
Assented to