Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Kiwere na Mgeraya mwaka 2023

Government Notice 305 of 2023

Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Kiwere na Mgeraya mwaka 2023
Ask AI
Ask questions and understand this document faster using AI.

Tanzania
Town and Country Planning Act

Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Kiwere na Mgeraya mwaka 2023

Tangazo la Serikali 305 ya 2023

  • Imechapishwa katika Gazette of the United Republic of Tanzania 15 hadi 28 Aprili 2023
  • Imeidhinishwa tarehe 17 Machi 2023
  • Ilianza tarehe 28 Aprili 2023
  • [Hili ni toleo la hati hii kutoka 28 Aprili 2023.]
[Imetengenezwa chini ya kifungu cha 8(1) na 23(1)]

1. Jina

Amri hii itajulikana kama Amri ya Kurasimisha Makazi Yasiyopangwa Eneo la Kiwere na Mgeraya mwaka 2023.

2. Utangazaji wa eneo la upangaji

Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii linatangazwa kuwa eneo la upangaji la mpango wa urasimishaji kwa madhumuni ya Sheria ya Mipangomiji.[Sura ya 355]

3. Mipangokina ya eneo

Mipangokina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali inaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.

Jedwali (limetengenezwa chini ya aya ya 2)

Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatavy:—"Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P1yenye majira - nukta 786712MS, 9156963KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 1.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P2 yenye majira - nukta 787679MS, 9155467KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P3 yenye majiranukta 788068, 9154866; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 1.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P4 yenye majira - nukta 788145MS, 9153630KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 1.1hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P5 yenye majira - nukta 787817MS, 9152584KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 2.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P6 yenye majira - nukta 787878MS, 9149946KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 1.0 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P7 yenye majira - nukta 788783MS, 9149494KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 1.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P8 yenye majira - nukta 790205MS, 9150474KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita1.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P9 yenye majira - nukta 790788MS, 9149595KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 1.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P10 yenye majiranukta789950MS, 9148772KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 1.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P11 yenye majira - nukta 790728MS, 9147624KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 2.0 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P12 yenye majira - nukta 790835MS, 9145852KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P13 yenye majira - nukta 790276MS, 9145950KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 2.0 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P14 yenye majira - nukta 789111MS, 9147598KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 2.9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P15 yenye majira - nukta 786717MS, 9149313KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 1.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P16 yenye majira - nukta786114MS, 9151065KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 1.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P17 yenye majira - nukta 786622MS, 9152386KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 1.2 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P18 yenye majira - nukta 786595MS, 9153548KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 3.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P19 yenye majira - nukta 784569MS, 9155905KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 1.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P20 yenye majira - nukta 785759MS, 9156686KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki kwa umbali wa kilomita 1.0 hadi ulipoanzia”

History of this document

28 April 2023 this version
Published in Gazette of the United Republic of Tanzania 15
Commenced
17 March 2023
Assented to
To the top