Jedwali (Limetengenezwa chini ya aya ya 2)
Eneo la urasimishaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo—“Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P1 yenye majira -nukta 792347MS, 9132863KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini -Magharibi kwa umbali wa kilomita 4.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P2 yenye majira -nukta 790295MS, 9129207KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 4.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P3 yenye majira - nukta 786805MS, 9126197KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea usawa wa bonde la mto hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P4 yenye majira - nukta 785383MS, 9126109KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 1.3 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P5 yenye majira - nukta 786035MS, 9127271KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 1.8 kuelekea mlima wa Masalale kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P6 yenye majira - nukta 787533MS, 9128356KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 2.7 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P7 yenye majira - nukta 787729MS, 9131055KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 2.9 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P8 yenye majira - nukta 789541,9133356; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 2.0 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P9 yenye majira - nukta 791050MS, 9134639KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 1.8 kwenye bonde la mto na mpaka kati ya kijiji cha Ugwachanya na Manispaa ya Iringa kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P10 yenye majira - nukta 791991MS, 9133406KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P1 yenye majira - nukta 792347MS, 9132863KZ;. baada ya hapo mpaka unaelekea kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P3 yenye majira - nukta 786805MS, 9126197KZ; baada ya hapo mpaka unaeleka Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P11 yenye majira - nukta 787236MS, 9125777KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini kwa umbali wa kilomita 1.2 usawa wa njia ya umeme mkubwa kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P12 yenye majira - nukta 786500MS, 9124817KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa kufuata njia ya umeme mkubwa kwa umbali wa kilomita 3.1 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P13 yenye majira - nukta 784422MS, 9122396KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 2.1 kwenye mpaka kati ya kijiji cha Wenda na Tanangozi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P14 yenye majira - nukta 783480MS, 9124210KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini usawa wa bonde la mto kwa umbali wa kilomita 2.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P15 yenye majira - nukta785152MS, 9126202KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Mashariki usawa wa mpaka wa kijiji cha Wenda na Ugwachanya kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P4 unaishia kwenye alama ya mpaka ya upiamaji yenye majira - nukta 786805MS, 9126197MS; baada ya hapo mpaka uanelekea kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P13 yenye majira — nukta 784422MS, 9122396KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P16 kwa umbali wa kilomita 1.8 yenye majira - nukta 784011MS, 9120654KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 2.0 usawa wa mlima wa Itimbo kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P17 yenye majira — nukta 782715MS, 9119171KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini usawa wa mlima Itimbo kwa umbali wa kilomita 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P18 yenye majira - nukta 782456MS, 9118584KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 1.2 usawa wa mlima Kilindi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P19 yenye majira - nukta 781315MS, 9118255KZ; bada ya hapo mpaka unaelekea Kusini usawa wa mlima Kilindi kwa umbali wa kilomita 0.4 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P20 yenye majira - nukta 780926MS, 9118086KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa umbali wa kilomita 0.5 kwa kufuata barabara ya Iringa - Mbeya hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P21 yenye majira - nukta 780498MS, 9118287KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwa kufuata mto Kipolwi kwa umbali wa kilomita 1.4 hadi kwenye kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ya P22 yenye majira - nukta 780317MS, 9119709KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 1.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P23 yenye majira - nukta 781177MS, 9121045KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi kwenye mpaka kati ya kijiji chaTanangozi na Saadani kwa umbali wa kilomita 1.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P24 yenye majira - nukta781123MS, 9122686KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini kwa umbali wa kilomita 0.8 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P25 yenye majira - nukta 781634MS, 9123283KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki kwa umbali wa kilomita 1.0 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P26 yenye majira - nukta 782478MS, 9122616KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini usawa wa bonde la mto kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba P14 yenye majira - nukta 783480MS, 9124210KZ; baada ya hapo unaelekea Kusini - Mashariki kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba ya P13 yenye majiranukta 784422MS, 9122396KZ; hadi ulipoanzia”