Amri ya Kupanga Eneo la Mwatulole ya Mwaka 2023

Government Notice 322 of 2023

Amri ya Kupanga Eneo la Mwatulole ya Mwaka 2023
Ask AI
Ask questions and understand this document faster using AI.

Tanzania
Town and Country Planning Act

Amri ya Kupanga Eneo la Mwatulole ya Mwaka 2023

Tangazo la Serikali 322 ya 2023

  • Imechapishwa katika Gazette of the United Republic of Tanzania 15 hadi 28 Aprili 2023
  • Imeidhinishwa tarehe 17 Machi 2023
  • Ilianza tarehe 28 Aprili 2023
  • [Hili ni toleo la hati hii kutoka 28 Aprili 2023.]
[Imetengenezwa chini ya kifungu cha 8(1)]

1. Jina

Amri hii itajulikana kama Amri ya Kupanga Eneo la Mwatulole ya Mwaka 2023.

2. Utangazaji wa eneo la upangaji

Eneo lililoainishwa katika Jedwali la Amri hii linatangazwa kuwa eneo la upangaji kwa madhumuni ya Sheria ya Mipangomiji.[Sura ya 355]

3. Mpango wa jumla na kina wa eneo

Mipango ya Jumla na kina ya eneo lililoainishwa katika Jedwali inaandaliwa na kuhifadhiwa kwa Mkurugenzi wa Mipangomiji na Mkurugenzi wa Mji wa Geita.

Jedwali (Limetengenezwa chini ya aya ya 2)

Eneo la upangaji lipo ndani ya mipaka ifuatavyo—“Mpaka unaanzia kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba A yenye majira - nukta 419248MS, 9679551KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Mashariki katika uelekeo wa 101o kwa umbali wa kilometa 0.69 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba K yenye majira - nukta 419703MS, 9680199KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 142o kwa umbali wa kilometa 0.73 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba J yenye majira - nukta 419665MS, 9680930KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini - Magharibi katika uelekeo wa 110o kwa umbali wa kilometa 1.83 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba H yenye majira-nukta 417615MS, 9681590KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba I yenye majira-nukta 417904MS, 9681458KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kaskazini katika uelekeo wa 109o kwa umbali wa kilometa 0.94 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba G katika barabara kuu ya Mwanza - Geita kwenye majira-nukta 417710MS, 9682524KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Magharibi katika uelekeo wa 96o kwa umbali wa kilometa 0.6 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba F yenye majira - nukta 417120MS, 9682647KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 96o kwa umbali wa kilometa 0.5 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba E kwenye barabara ya Mwatulole-miti ni dawa yenye majira - nukta 416944MS, 9682101KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini katika uelekeo wa 152o kwa kufuata bonde la kijito kwa umbali wa kilomita 0.57 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba. D yenye majira-nukta 416328MS, 96811323 hadi kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba C yenye majira-nukta 417135MS, 9680188KZ; baada ya hapo mpaka unaelekea Kusini - Mashariki katika uelekeo wa 106o hadi Ibolelo kwenye alama ya mpaka ya upimaji namba B yenye majira - nukta 417899MS, 9680172KZ; hadi ulipoanzia”

History of this document

28 April 2023 this version
Published in Gazette of the United Republic of Tanzania 15
Commenced
17 March 2023
Assented to
To the top