Tanzania Government Gazette dated 2016-01-15 number 3

ISSN 0856 - 0323

MWAKA WA97 15 Januari, 2016

TOLEO NA.3 GAZETI
BEI SH. 1,000/= DAR ES SALAAM

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
——————_O——

Linatolewa kwaIdhini ya Serikalina
Kuandikishwa Posta kama
— Gazeti

YALIYOMO

Taarifa ya Kawaida Uk. Taarifa ya Kawaida Uk.
Notice re Supplement oo... eee Na.56 71 Ubatilisho wa Haki ya Kumiliki Ardh1....... Na,.66-88 76/80
In the Court of Appeal of Tanzania at Kampuni Iliyobadilisha Jina ....,.cceeeeeeeeeee Na.89 80
ATUSHA 0... eeeeceeeseesceeeneeecerscseeeeerecseasneseeetacaes Na.57 72/4 Kampuni Iliyofutwa katika Daftari
Kupotea kwa Hati za Kumiliki Ardhi...... Na. 58-65 75/6 la Makampun oo... eee eeeeeeeeneeeeneeseneeaes Na. 90-2, 80

TAARIFA YA KAWAIDA Na. 56 Hati Rasmi (Uanzishaji wa Bodi ya Huduma ya Afya) ya
Halmashauri ya Mji wa Masasi za mwaka 2016 (Tangazo
Notice is hereby given that Sheria Ndogo, Hati Rasmi, la Serikali Na. 51 la mwaka 2016).
Kanuni and Order as set out below have beenissued and
are published in Subsidiary Legislation Supplement No. 3 Kanuni za Kudumuza Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
dated 15" January, 2016 to this numberof the Gazette:- zamwaka20 16 (Tangazo la Serikali Na. 52 lamwaka 2016).

Sheria Ndogo za (Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii - Kanuni za Kudumuza Halmashauri ya Wilaya ya Babati za
Tiba kwa Kadi) za Halmashauri ya Manispaa ya mwaka 2016 (Tangazo la Serikali Na. 53 lamwaka 2016).
Morogoro za mwaka2016 (Tangazola Serikali Na. 48 la
mwaka 2016). Kanuni za Kudumuza Halmashauri ya Wilaya ya Ileje za
mwaka 2016 (Tangazo la Serikali Na. 54 la mwaka 2016).
Sheria Ndogo za (Kodi ya Huduma) za Halmashauri ya Mji
wa Masasi za mwaka 2016 (Tangazola Serikali Na. 49 la Order under the Newspapers (Prohibition of Publication)
mwaka 2016). (MAWIO) 2016 (Government Notice No. 55 of 2016).

Sheria Ndogo za (Uanzishaji wa Mfuko wa Afya ya Jamii) Kanuni za Kudumuza Bungela Tanzania, 2016 (Tangazo la
za Halmashauri ya Mji wa Masasi za mwaka 2016 Serikali Na. 56 lamwaka2016).
(Tangazo la Serikali Na. 50 lamwaka 2016).

Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
kwa umma yaweza kuchapishwakatika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais —Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, S.L.P. 2483, Dares Salaam, Simu za Ofisi 2118531/4. Kabla ya Jwmamosi ya kila Juma.

Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuuwa Serikali, Dar es Salaam —Tanzania