Tanzania Government Gazette dated 2016-02-05 number 6

ISSN 0856 - 0323

MWAKA WA97 5 Februari, 2016

TOLEO NA.6

BEI SH. 1000/= ‘ DAR ES SALAAM

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
—S—()-—_

Linatolewa kwaIdhini ya Serikalina
Kuandikishwa Posta kama
Gazeti

YALIYOMO

Taarifa ya Kawaida_ Uk. Taarifa ya Kawaida Uk.
Kupotea kwa Hati za Kumiliki Ardhi...... Na. 158-66 1/3 Kampuni Zilizobadilisha Majina............. Na. 179-82 6
Kupotea kwa Barua ya Toleo...0......c. cece Na. 167-72 3/4 Special Resolutions for Voluntary
Kupotea/Kuungua kwa Leseni ya Makazi .. Na. 173-5 4/5 Winding-UP ....eseeseessesessessessessestsseereseeeeeee: Na. 183-7 6/7
Kupotea kwa Leseni ya MakaZioo... eeeecesees Na.176 5° Maombi ya Vibali vya Kutumia Maji............. Na. 188 8/11
Ilani ya Kuhamisha Jina la Mmiliki wa Uthibitisho na Usimamizi waMirathi ...... Na. 189-90 11/2
Kipande cha Ardhi .....ececececccesssesseeeseeseeseeaee Na.177 Deed Poll oo. ceceessecseeseesessessessssessneseavens Na. 191-2 12
5
AppointmentofAuthorized Officer«0.0.0.0... Na. 178 Inventory of Unclaimed Property ........ Na.193 13
5/6
‘Tangazo kwa Umma.......ceceesecsesessetssesseeseeseeaes Na.194 13

TAARIFA YA KAWAIDA Na. 158 Hatt ya Asiit ikionekana, irudishwe kwa Msajili wa Hati,
S.L.P. 1191, Dar es Salaam.
KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKIARDHI
Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi Dares Salaam, Bum F. Mwalsaka,
(Sura 334) 25 Januari, 2016 Msajiliwa Hati Msaidizi Mwandamizi

Hati Nambari: 139390. TAARIFA YA KAWAIDA Na. 159
Mmniliki aliyeandikishwa: Parrick EXAUD DUMULINYI.
Ardhi: Kiwanja Na. 16 Kitalu“*16” Gezaulole. KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKI ARDHI
Muombaji: Parrick Exaup DUMULINYI. Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi
(Sura 334)
TaarivA IMEvOLEWA kwamba Hati ya kumiliki ardhi
iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Hati Hati Nambari: 52877.
mpyabadala yake iwapohakunakipingamizi kwa muda wa Mmiliki aliyeandikishwa: Henry Sxio MAssaba.
mwezi mmoja tokea tarehe yataarifa hii itakapotangazwa Ardhi: Kiwanja Na. 412 Kitalu 46 Kijitonyama Dares
katika Gazeti la Serikali. Salaam.
Muombaji: ZANt Micro Crepit Limitep.

Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikatabaya ushirikiano na mengineyo
, yakiwa ya manufaa »
kwa umma yaweza kuchapishwakatika Gazcti, Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais —Menejim
enti ya Utumishi wa
Umma, S.L.P. 2483, Dar es Salaam, Simu za Ofisi, 2118531/4. Kabla ya Jumamosi
ya kila Juma.

Limepigwa Chapa na Mpigachapa MkuuwaScrikali, Dar es Salaam — Tanzania