Tanzania Government Gazette dated 2016-02-26 number 9

ISSN 0856 - 0323

MWAKA WA 97 26 Februari, 2016

TOLEO NA.9

BEI SH. 1,000/= DAR ES SALAAM

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
—————_(}

Linatolewa kwaIdhini ya Serikalina
Kuandikishwa Posta kama
Gazeti

YALIYOMO

Taarifa ya Kawaida Uk. Taarifa ya Kawaida Uk.
Notice re Supplement..........-2..:::csceceseeeesereeees Na. 248 45 Special Resolution ........cc eeeNa 298-9 54
Kupotea kwa Hati za Kumiliki Ardhi..... Na.249-53 45/6 Business Registration and a,
Kufutwa kwa Leseni ya Makazi....................Na.254 46/7 Agency... wis . Na.300 54
Kupotea/Kuungua kwa Leseni ya Makazi... Na.255 47° Maombi yaWibali wa Kitna Maji .sbesiegts
Na, 301-2 55/60
Kupotea kwa Barua ya Toleo..........0.0........ Na. 256-9 47/8 Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi
Ubatilisho wa Haki ya Kumiliki Ardhi ..... Na. 260-83 48/52 wa Hesabu (NBAA).......:s:sccceseteteeeeeeee Na. 303-6 60/77
Kampuni Zilizobadilisha Majina.............. Na. 284-96 52/3 Special Resolution .............ccccccssseeseseseeseeeeeens Na.307 77
Kutangaza Daftari la Uthamini wa Uthibitisho wa Mirathi ... ..Na.308-9 78
Majengo ......ceseceeeseceseeteseeeseseeteesesesteteeseseeeee N@ 297 53/4 Change ofName by Deed Poll...vohneanninitaaniee
Na, 310-5 78/80
Inventory of Unclaimed Property ..................Na.316 80/2

TAARIFA YA KAWAIDA NA. 248 TAARIFA YA KAWAIDA Na. 249

Notice is hereby given that Notices and Regulation as KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKIARDHI
set out below have been issued and are published in Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi
Subsidiary Legislation Supplement No. 8 dated 26" (Sura 334)
February, 2016 to this number of the Gazette:-
Hati Nambari: 117598.
Notice under the Petroleum (Declaration of Mamba Kofi - Mmiliki aliyeandikishwa: Hamis RAMADHANI.
[A Location in Ruvu Block Licence Area) 2016 Ardhi: Kiwanja Na. 260, Kitalu 17 Buyuni, Dar es
(Government Notice No. 83 of 2016). Salaam.
Muombaji: Hamis RaMaAbHANI S. L. P 2095, Dar es
Notice under the Standards (Prescription of National SALAAM.
Standards) 20 16 (Government Notice No. 84 of 2016).
TAARIFA IMETOLEWA kwamba Hati ya kumiliki ardhi
Regulation under the Parliamentary Service (Amendment) iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Hati
2016 (Government Notice No, 85 of2016). mpya badala yake iwapo hakuna kipingamizi kwa muda wa

Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais —Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, S8.L.P. 2483, Dares Salaam, Simu za Ofisi 2118531/4. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu waSerikali, Dar es Salaam —Tanzania