Tanzania Government Gazette dated 2016-03-11 number 11

ISSN 0856 - 0323

MWAKA WA97 11 Machi, 2016

TOLEO NA.11 GAZETI
BEI SH. 1,000/= DAR ES SALAAM

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
—0O-——_

Linatolewa kwa Idhini ya Serikalina
Kuandikishwa Posta kama
Gazeti

YALIYOMO

Taarifa ya Kawaida Uk. Taarifa ya Kawaida Uk.
Notice re Supplement........... eee eeeeeeeeeeees Na.339 11 Uteuzi wa Mjumbe waBaraza laArdhina
Kupotea kwa Hati ya Kumiliki Ardhi ........ Na. 340-3 11/2 Nyumbala Wilaya ya Tanga.......... eee Na.351 14
Kupotea wa Leseni ya MakaZi «0... eee Na. 344-6 12/3 Makampuni Yaliyobadilisha Majina.......... Na. 352-5 14/5
Kupotea kwa Barua ya Toleo ya Kumiliki Architects and Quantity Surveyors .
ALi o.ecesescesseseeseseeseeseseesesneeeseeneceeseneeeeneesenes Na. 347-9 13/4 Registration Board oo... cceeeeseteeeeeeeeees Na.356 15
Ilani ya Kuhamisha Jina la Mmiliki wa Change ofNameby DeedPoll ................. Na. 357-62 30/3
Kipande cha Ardhi .........eeeeeeeeseereeseneeeeens Na.350 14 Uthibitisho na Usimamizi wa Mirathi ............. Na.363 33

Notice under the Energy and Water Utilities Regulatory
TAARIFA YA KAWAIDA NA. 339
Authority (The Inquiry on the Application for tariff
Adjustment by Tanzania Electric Supply Company Ltd
Notice is hereby given that Rules, Regulations, Notice
- (Tanesco) 2016 (GovernmentNotice No. 94 of 2016).
and Kanuni as set out below have been issued and are
published in Subsidiary Legislation Supplement No. 10 Kanuni za Uchaguzi za Barazala Taifa la Mashirika yasiyo
dated 11" March, 2016 to this number of the Gazette:- ya Kiserikali, 2016 (Tangazo la Serikali Na. 95 la mwaka
2016).
Rules under the Local Authorities (Elections) (Designation
of Districts Courts) 2016 (GovernmentNotice No. 91 of TAARIFA YA KAWAIDA NA. 340
2016).
KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKI ARDHI
Regulations under the Non-Governmental Organisations Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi
(The National Council Operational) 2016 (Government (Sura 334)
Notice No. 92 of2016).
Hati Nambari: 32499.
Notice under the Tanzania Communicatins Regulatory Mmiliki aliyeandikishwa: WaANKURU MaARwaA Maswl.
Authoruty (Publicatin of Postcodes List and Directories) Ardhi: Kiwanja No. 8 Block 36, Kariakoo Dares Salaam
2016 (GovernmentNotice No. 93 of2016). City.
Muombaji: WANKURU Marwa Maswi.

Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
kwa ummayaweza kuchapishwakatika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais -Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, S.L.P. 2483, Dares Salaam, Simu za Ofisi 2118531/4. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu waSerikali, Dar es Salaam — Tanzania