Tanzania Government Gazette dated 2016-05-06 number 19

ISSN 0856 - 0323

MWAKA WA 97 6 Mei, 2016

TOLEO NA.19 GAZETI
BEI SH. 1,000/= DAR ES SALAAM

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
—_(—)——_

Linatolewa kwa Idhini ya Serikalina
Kuandikishwa Posta kama
Gazeti

YALIYOMO

Taarifa ya Kawaida Uk. Taarifa ya Kawaida_ Uk.
Notice re Supplement .....0.......c.ccceeseseveeees Na 554 1 Kupotea kwa Barua ya Toleo ya Kumiliki i
Kufutwa kwa Power ofAttomey............0.. Na. 555 1/2 ASH oo. eeeeeeeeteteteteteeerererteeeesrseteeeteeeeeeeeeee Na S64 4
Appointment ofAmbassador.................0..... Na.556 2 Krystalline Salt Ltd (Extract of the Minutes).Na. 565 4
Appointment of Regional Administrative Maombi ya Vibali vya Kutumia Maji..........Na.566 4/8 ~
Secretaries eee eereeeereerereees Na S57 2 Uthibitisho wa Mirathi .......0..0..0..cee. Na. 567-8 8
Kupotea kwa Hati za kumiliki Ardhi........ Na. 558-9 2/3
Deed Poll on Change of Name............ Na. 569-70 8/9
Kupotea kwa Leseni za Makazi............... Na. 560-1 3
Bodi ya Wataalamu Wanunuzi na Ugavi
Kupotea/Kuungua kwa Leseni ya Makazi....Na.562 3
Ilani ya Kuhamisha Jina la Mmiliki wa (PSPTAB) ssscsssovsscecasserasesansecvsnswennnesenavneeveres Na. 571 9/12
Kipandeé cha Ard ..cssssinaissucnsnrcietccess Na.563 3 Inventory of Unclaimed Property .............. Na.572 13/4

TAARIFA YA KAWAIDA Na. 554 TAARIFA YA KAWAIDA Na. 555

Notice is hereby given that Kanuni za Kudumu asSet KUFUTWA K WA ‘POWER OF ATTORNEY’
out below have been issued and is Published in Subsidiary ILTYOTOLEWA K WA OMBENI YOHANA SEFUE
Legislation Supplement No. 18 dated 6" May, 2016 to this NA KUMPA*POWER OFATTORNEY’
number of the Gazette:- JOHN WILLIAM KUJAZI

Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Manispaa ya Songea TAARIFA INATOLEWA kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano
za mwaka 2016 (Tangazola Serikali Na. 162 la mwaka wa Tanzania amefuta ‘Power of Attorney’ PA V 64499
2016). iliyotolewa kwa OmBeEN! YOHANA SEFUE tarehe 04 Aprili,
2012 na kusajiliwa tarehe 19 Julai, 2012 katika Masjala ya
Ardhi, Dar es Salaam chini ya Sheria ya Usajili wa Ardhi

Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
kwa umma yaweza kuchapishwakatika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais —Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, S.L.P. 2483, Dares Salaam, Simu za Ofisi 2118531/4. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu waSerikali, Dar es Salaam —Tanzania