Tanzania Government Gazette dated 2016-12-16 number 52

ISSN 0856 - 0323

MWAKA WA 97 16 Desemba, 2016

-TOLEO NA. 52 GAZETI
BEI SH. 1,000/= DAR ES SALAAM
_ JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Linatolewa kwaIdhini ya Serikali na
Kuandikishwa Posta kama
Gazeti

YALIYOMO

Taarifa ya Kawaida Uk. Taarifa ya Kawaida Uk.
Kupotea kwa Hati za Kumiliki Ardhi...........Na. 1736-9 23 Imperial Distributors Ltd occ eeeeseseeeeceee Na.1746 25
Deed Poll on Change ofName... Na. 1747-8 25/6
Kupotea kwa Leseni za MakaZi....... sessoNa. 1740-2 24
Designation of Land for Investment “
Lidtid AGMIMISHALION s..ccsseessseceensseassecsecsessere Na. 1743-4 25 PULPOSCSssatssveressissennseresparmnsnnaceeveNa. 1749 26
Peoples Power-Winding Up uu... seeseseeeeene Na. 1745 25 Inventory of Unclaimed Property .......... Na. 1750-1 27/8

TAARIFA YA KAwalpa NA. 1736 _ TAARIFA YA KAwAIDA NA. 1737

KUPOTEA KWAHATI YA KUMILIKI ARDHI KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKI ARDHI
Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi
(Sura 334) _ (Sura 334)

Hati Nambari: 96633. Hati Nambari; 48418.
Mmiliki aliyesajiliwa: CutHBERT NATHAN MCHARO. Mmiliki aliyeandikishwa: Tracy SIMON SNARE.
Ardhi: Kiwanja Na. 2000 Kitalu K, Mbezi Dar es Salaam. Ardhi: Kiwanja Na. 23, Magogoni Dares Salaam.
Muombaji: CUTHBERT NATHAN MCHARO. Muombaji: Tracy Simon SNARE.

“TAARIFA IMETOLEWA kwamba Hati ya kumiliki ardhi TaariFA IMETOLEWA kwamba Hati ya kumiliki ardhi
iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Hati iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Hati
mpyabadala yake iwapo hakunakipingamizi kwa muda wa mpya badala yake iwapo hakuna kipingamizi kwa muda wa
mwezi mmoja tokea tarehe yataarifa hii itakapotangazwa mwezi mmoja tokea tareheyataarifa hii itakapotangazwa
katika Gazetila Serikali. katika Gazeti la Serikali.

Harti ya AsILt ikionekana, irudishwe kwa Msajili wa Hati, Hatt ya Asit ikionekana,irudishwe kwa Msajili wa Hati,
S.L.P. 1191, Dar es Salaam. S.L. P. 1191, Dar es Salaam.

Dares Salaam, Victor Rosert, Dar es Salaam, Victor ROBERT,
7 Desemba, 2016 Msajili wa Hati: Msaidizi 15 Novemba, 2016 Msajili wa Hati Msaidizi
Mwandamizi Mwandamizi
Matangazo yahusuyomali za watu waliofariki, kuvunja mikatabaya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
kwa umma yaweza kuchapishwakatika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais —-Menejimenti ya Utumishi wa
Umma,S.L:P. 2483, Dares Salaam, Simu za Ofisi 2118531/4. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

Limepigwa Chapa na Mpigachapa MkuuwaSerikali, Dar es Salaam —Tanzania