Tanzania Government Gazette dated 2021-09-17 number 38

ISSN 0856 - 0323

MWAKA WA 102 17 Septemba, 2021

TOLEO NA. 38 GAZETI
BEI SH. 1,000/= LA DODOMA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
O
Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
Kuandikishwa Posta kama
Gazeti

YALIYOMO
Taarifa ya Kawaida Uk. Taarifa ya Kawaida Uk.
Notice re Supplements ........................... Na. 1521 33/4 Kampuni inayotarajia kufutwa katika Daftari la
Tangazo la siku ya uteuzi wa Wagombea Makampuni ........................................ Na. 1539/40 38
katika uchaguzi Mdogo wa Madiwani ...... Na. 11522 34 Kampuni iliyofutwa katika Daftari la
Tangazo la siku ya kupiga kura Makampuni ........................................... Na. 1541/ 3 38/9
katika uchaguzi Mdogo wa Madiwani ...... Na. 1523 34 Winding up .................................. Na. 1534/7 39/40
Kupotea kwa Hati ya Makazi .............. Na.1524/32 34/6 Meeting ...................................... Na. 1548/50 40
Kupotea kwa Leseni ya Makazi .............. Na. 1533 36 Resolution ..................................... Na. 1551/2 41
Kupotea kwa Barua ya Toleo la Petition ............................................. Na. 1553 41/2
kumiliki Ardhi ........................................... Na. 1534 37 Bussines Registration .................... Na 1554 42
Ilani ya Kuhamisha Jina la Umiliki .............. Na. 1535 37 Uthibitisho wa Usimamizi wa Mirathi Na......1555/62 42/4
Kusudio la Kufuta Chama cha uUshirika ....... Na. 1536 37 Deed Poll .............................................. Na. 1563 44
Designation of Land ....................... Na. 1537/8 37/8 Inventory of Unclaimed Property ........ Na. 1564/7 45/51

TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1521
Regulations under The Law Reform (Review Of Laws)
Notice is hereby given that Notice and Regulation as (Government Notice No. 671 of 2021).
Set out below, have been issued and are published in
Subsidiary Legislation Supplement No. 37 dated 17th Order under The Criminal Procedure (Appointment Of
September, 2021 to this number of the Gazette:- Handwriting Experts) (Government Notice No. 672 of
2021).
Code Of Conduct Under The Legal Aid Act For Legal
Aid Providers, Lawyers And Paralegals, 2021 Order under The Criminal Procedure (Appointment Of
(Government Notice No. 669 of 2021). Fingerprint Experts (Government Notice No. 673
of 2021).
Regulations under The Law Reform (Assessment Of Laws)
(Government Notice No. 670 of 2021). Notice under The Industrial And Consumer Chemicals
(Management And Control) (Appointment Of

Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania