Tanzania Government Gazette dated 2021-09-24 number 39

ISSN 0856 - 0323

MWAKA WA 102 24 Septemba, 2021

TOLEO NA. 39 GAZETI
BEI SH. 1,000/= LA DODOMA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
O
Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
Kuandikishwa Posta kama
Gazeti

YALIYOMO
Taarifa ya Kawaida Uk. Taarifa ya Kawaida Uk.
Kuthibitishwa Kazini ............................... Na. 1568 53 Kampuni inayotarajia kufutwa katika Daftari la
Notice re Supplements ........................... Na. 1569 53/4 Makampuni .................................... Na. 1592/5 59/60
Appointment of Attorney General Kampuni iliyofutwa katika Daftari la
and Ministers .......................................... Na. 1570 54 Makampuni ........................................... Na. 1596/ 7 60
Kufuta Power of Attorney ............... ...... Na. 1571 54 Resolution ................................... Na. 1598/600 60
Kupotea kwa Hati ya Makazi .............. Na.1572/82 54/7 Winding up .................................. Na. 1601/2 60
Kupotea kwa Leseni ya Appointment of Liquidator .............. Na. 1603 60
kumiliki Ardhi ........................................... Na. 1583 57 Kufunga Kampuni ................................ Na. 1604 60
Kupotea kwa Barua ya Toleo la Bussines Registration .................... Na 1605 61
kumiliki Ardhi ........................................... Na. 1584/7 57 Uthibitisho wa Usimamizi wa Mirathi Na.....1606/10 61/3
Loss Report ............................................. Na. 1588/90 58/9 Hati ya Kiapo .............................................. Na. 1611 63
Appointment of Authorized Officer .............. Na. 1591 59 Inventory of Unclaimed Property ........... Na. 1612/9 64/74

TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1568 September, 2021 to this number of the Gazette:-

KUTHIBITISHWA KAZINI Regulations under The Standards (Compounding Of
OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA Offences) (Government Notice No. 679 of 2021).
UMMA NA UTAWALA BORA
Kuanzia tarehe 1/09/2020
Regulations under The Standards (Cooperation In
Kuwa Afisa Hesabu daraja la II Execution Of Powers And Functions) (Government
Notice No. 680 of 2021).
Irene V. Mtalo

TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1569 Regulations under The Standards (Imports Registration
And Batch Certification) (Government Notice No. 681
Notice is hereby given that Regulations Order and of 2021).
Notice as Set out below, have been issued and are published
in Subsidiary Legislation Supplement No. 38 dated 24th
Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania