Tanzania Government Gazette dated 2021-10-01 number 40

ISSN 0856 - 0323

MWAKA WA 102 01 Oktoba, 2021

TOLEO NA. 40 GAZETI
BEI SH. 1,000/= LA DODOMA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
O
Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
Kuandikishwa Posta kama
Gazeti

YALIYOMO
Taarifa ya Kawaida Uk. Taarifa ya Kawaida Uk.
Kustaafu ..................... ............................... Na. 1620 1 Kampuni inayotarajia kufutwa katika Daftari la
Notice re Supplements ........................... Na. 1621 1/2 Makampuni ................................ Na. 1639/41 11/2
Kupotea kwa Hati ya Makazi .............. Na.1622/6 2/3 Kampuni iliyofutwa katika Daftari la
Kupotea kwa Leseni ya Makazi ............ Na. 1627/9 3/4 Makampuni ................................... Na. 1642/ 3 12
Kupotea kwa Barua ya Toleo la Resolution ................................... Na. 1644/7 12/3
kumiliki Ardhi ........................................... Na. 1630 4 Winding up ............................... Na. 1648/9 13/4
Nembo ya Taasisi ya Benjamini Ilani ya Kuitisha Hisa .............. Na. 1650 14
Mkapa Hospitali ....................................... Na. 1631 4 Bussines Registration .................... Na 1651 14
Uteuzi wa Mfilisi ...................................... Na. 1632 5 Uthibitisho wa Usimamizi wa Mirathi Na.....1652/7 14/5
Designation of Land .................................. Na. 1633/6 5/6 Inventory of Unclaimed Property ..........Na. 1658/9 16/7
Plant Bleeders .......................................... Na. 1637 6/7
Maombi ya Matumizi ya Maji
Bonde Pangani ........................................ Na. 1638 7/11

TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1620
WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
WAKALA WA USAJILI UFILISI NA UDHAMINI
KUSTAAFU
(RITA)
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI Ndugu Aisha Nassoro Nangwalanya aliyekuwa Msaidizi
ZA MITAA (TAMISEMI) wa Ofisi Mkuu daraja la II amestaafu kazi kuanzia tarehe
HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO 26/06/2021
Ndugu Sara Polini Urio aliyekuwa Mwalimu daraja la IIIC
amestssfu kazi Kuanzia tarehe 16/06/2021 TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1621
Waliostaafu kazi kuanzia tarehe 1/7/2021
Notice is hereby given that Notice and Kanuni as Set
Ndugu Calista Peter Mushi aliyekuwa Afisa Utumishi daraja out below, have been issued and are published in
la I, Ndugu Salome Ernest aliyekuwa Mwalimu daraja la Subsidiary Legislation Supplement No. 39 dated 01st
IIB October, 2021 to this number of the Gazette:-

Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania