Tanzania Government Gazette dated 2021-12-31 number 53

ISSN 0856 - 0323

MWAKA WA 102 31 Disemba, 2021

TOLEO NA. 53 GAZETI
LA DODOMA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
O
Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
Kuandikishwa Posta kama
Gazeti

YALIYOMO
Taarifa ya Kawaida Uk. Taarifa ya Kawaida Uk.

Kustaafu Kazini Na. 2609 103 Kampuni Iliyofutwa katika Daftari la
Notice re Supplements ............................ Na.2610 104 Makampuni ....................................... Na. 2637 111
Kupotea kwa Hati ya Kumiliki Ardhi .....Na. 2611/22 105/7 resolution ...................................... Na. 2638 111
Loss Report .................................... Na. 2623/5 107/8 Winding of the Company ...............Na. 2639 111/2
Designation of Land........................Na.2626/31 108/10 Meeting of the Company ................ Na. 2640 112
Kampuni Inayotajiwa kufutwa katika Daftari la Probate and administration ............... Na. 2641/2 112
Makampuni ....................................... Na. 2632/6 110/1 Deed Poll ........................................Na. 2643/ 83 113/29

ANAMARY AUSON KYARUZI
TAARIFA YA KAWAIDA NA. 2609
TUARIRA JOSEPH MWANZIA
SARAH WILLIAM KIMANZI
KUTHIBITISHWA KAZINI
AISHA AYOUB RAMADHANI
OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI
AISHA BARIWANI ISSA
ZA MITAA (TAMISEMI)
SHAFII JEMA ALLY
OFISI YA MKUU WA MKOA WA MARA
SUBIRA HAMISI AMRI
Kuwa Mhasibu daraja la II kuanzia tarehe 19/12/2020
HAWA JUMA ULEDI
ANITHA OBAY SIGALA
Kuwa Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii kuanzia tarehe
Kuwa Msaidizi wa kumbukumbu daraja la II kuanzia tarehe
4/10/2021
22/02/2021
FATUMA ABDALLAH RASHIDI DELVIN ANOLD MALEKO
HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO OFISI YA WAZIRI MKUU, UWEKEZAJI
Kuanzia tarehe 1/06/2021 Kuwa Daktari daraja la II Kuwa Katibu Mahsusi daraja la III kuanzia tarehe 1/07/
HENRY MALIQUE MWIGANI 2021
MIRIAM ISSA MOROMBE H APPY ABEL DANIEL
TAWFIQUE JUMA BWIKIZO Kuwa Katibu Mahsusi daraja la III kuanzia tarehe 23/09/
Kuwa Katibu Mahsusi daraja la III 2021
Hamida Ramadhani Makita FARIDA AKILIMALI CHIWANGA
MARIAM NASSORO SHOMVI Kuwa Afisa Usimamizi wa fedha daraja la II kuanzia tarehe
1/10/2021
DEVOTHA ANDREW DUDU
Kuwa Msaidizi wa Kumbukumbu daraja la II LUCY EMMANUEL MHAPA
Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania