Tanzania Government Gazette dated 2022-07-01 number 26
ISSN 0856 - 0323
MWAKA WA 103 1 Julai, 2022
TOLEO NA. 26 GAZETI
LA DODOMA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
O
Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
Kuandikishwa Posta kama
Gazeti
YALIYOMO
Taarifa ya Kawaida Uk. Taarifa ya Kawaida Uk.
Kuajiriwa na Kukabidhiwa Uthibitisho wa Usimamizi wa Mirathi ....Na. 2660/3 14/5
Madaraka ........................................... Na. 2623 1 Probate and Administration ........... Na. 2664/72 15/8
Notice re Supplements ....................... Na.2624 2 Deed Poll ...................... Na. 2673/2760 18/54
Kupotea kwa Hati ya Kumiliki Ardhi .... Na. 2625/36 2/5 Affidavit ................................Na. 2761/2 55
Kupotea kwa Barua ya toleo ........... Na.2637/9 5 Kiapo ........................................ Na. 2763 55/6
Caveat Notice ................................ Na. 2640 5/6 Usajili wa Wahasibu na Wakaguzi
Loss Report ............................... Na. 2641/5 6/7 wa Hesabu ........................................ Na. 2757 53
Special Resolution ............... Na. 2646/7 7/8
Resolution ............... Na. 2648/51 8/11
Winding Up ........................... Na. 2652/4 11/2
Business Registration ................ Na. 2655/9 12/4
KUAJIRIWA NA KUKABIDHIWA MADARAKA
TAARIFA YA KAWAIDA NA. 2623
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI Fortunatus Ewald Massawe
Kuwa Stafu Sajini kuanzia tarehe 27/05/2021 Abdul Haruna Qadiry
Arnold Thomas Mnguli Boniface Maruru Hitra
Kuwa Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji kuanzia tarehe Asha Abdi Mcharo
31/05/2021
Spelancia Simon Chahe
Linaendelea Ukurasa wa 68
Emmanuel E. Mboya
Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.
Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania