Tanzania Government Gazette dated 2022-07-08 number 27

ISSN 0856 - 0323

MWAKA WA 103 8 Julai, 2022

TOLEO NA. 27 GAZETI
LA DODOMA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
O
Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
Kuandikishwa Posta kama
Gazeti

YALIYOMO
Taarifa ya Kawaida Uk. Taarifa ya Kawaida Uk.

Kuajiriwa na Kukabidhiwa Kusudio la kufuta Usajili wa Bodi ya
Madaraka ........................................... Na. 2770 59 Wadhamini ........................... Na. 2790 63/4
Notice re Supplements ....................... Na.2771 60 Resolution ............... Na. 2791/2 64
Appointment of Chief of Defence Forces Business Registration ................ Na. 2793 65
and Chief of Staff of the Tanzanian People’s Uthibitisho wa Usimamizi wa Mirathi ....Na. 2794/9 65/6
Defence Forces .................................. Na.2772 60 Probate and Administration ........... Na. 2799/2804 66/8
Kupotea kwa Hati ya Kumiliki Ardhi .... Na. 2773/80 60/2 Decree .................................. ........... Na. 2805 68
Loss of certificate of title .............. Na. 2781 62 Deed Poll ...................... Na. 22806/2915 68/114
Kupotea kwa leseni ya Makazi ......... Na. 2782 62 Affidavit ................................Na. 2916/9 114/5
Kupotea kwa Barua ya toleo ........... Na. 2783 62/3 Kiapo ........................................ Na. 2920/24 115/7
Loss Report ............................... Na. 2784/5 63 Vibali vya Matumizi ya Maji ................ Na. 2925 118/29
Kampuni inayotarajiwa kufutwa.. Na. 2786/8 63 Inventory .............................................. Na. 2926 129/30
Muunganisho uliofutwa katika Daftari la
Miunganisho wa Wadhamini ....... Na. 2789 63/6

KUAJIRIWA NA KUKABIDHIWA MADARAKA
TAARIFA YA KAWAIDA NA. 2770
Kuwa Tabibu daraja la II
OFISI YA RAIS , TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI
ZA MITAA (TAMISEMI) Jane David Saibullu

HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO OFISI YA MKUU WA MKOA WA MARA

Kuanzia tarehe 1/03/2022 Kuwa Mhandisi daraja la II kuanzia tarehe 11/03/2022

Kuwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi katika Utumishi wa Sayuni Flavian Msagati
Serikali za Mitaa
Linaendelea Ukurasa wa ( 130 )
Lusigulu Mashashi
Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania