Kuhusu TanzLII
TanzLII ina makao yake katika Mahakama ya Tanzania na inachapisha sheria ya Tanzania kwa upatikanaji wa bure mtandaoni kwa wote. Upatikanaji Huru wa sheria unasaidia utawala wa sheria na upatikanaji wa haki. TanzLII inashirikiana na Taasisi ya Taarifa za Kisheria ya Afrika (AfricanLII) na Laws.Africa NPO, ambao huipatia msaada wa kiufundi.