HOTUBA FUPI YA MHE. JAJI MKUU KUWAKUBALI MAWAKILI KWA NJIA YA MTANDAO TAREHE 10 JULAI 2020

MAMBO MUHIMU YALIYOZUNGUZWA NA MHE. JAJI MKUU: MAWAKILI KUHAKIKISHA KAZI ZAO ZA UWAKILI ZINALENGA “HAKI”: MAWAKILI KUJITAYARISHA KUFANYA KAZI KATIKA KARNE YA 21 YENYE USHINDANI MKUBWA: MAWAKILI KUJITAYARISHA KUKABILIANA NA UCHACHE WA KAZI AU AJIRA ZA UWAKILI ZILIZOZOELEKA KATIKA KARNE YA 19 NA 20:MAWAKILI KUJISHUGHULISHA NA SHUGHULI ZINGINE IKIWA NI PAMOJA NA KILIMO, UFUGAJI, MADINI NA BIASHARA: MAWAKILI KUTOKWEPA MATUMIZI YA TEHAMA: MAWAKILI KATIKA KARNE YA 21 KUJIENDELEZA, KUJISOMEA NA KUJIONGEZEA UWEZO WA ZIADA NJE YA TAALUMA YA SHERIA. 

Author: 
MHE: PROF. I.H. JUMA-JAJI MKUU WA MAHAKAMA YA TANZANIA